....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma...
Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari...
Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na...
Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu...
Habari tunafuta mwalimu wa part time aliyepo Arusha anayemudu kufundisha masomo tajwa hapo juu, ANAWEZA KUWASILIANA NASI 0658547794
ENEO LA KAZI: NI CHUO CHA AIHM ARUSHA SAKINA
Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze.
Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa.
Kila tukiuliza...
Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa.
Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
Wakuu habar naitwa Alex Peter nipo Dar es Salam, umri wangu miaka 29.
Natafuta kazi yoyote, nina fani ya udereva kipindi cha nyuma nilikuwa naendesha bolt na uber.
Naomba mwenye kazi yoyote...
Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu...
Ni Dr Emanuel nchimbi pekee aliyepewa ubalozi na Hayati Magufuli kutoka kambinya Lowasa lakini walio salia wote walinyooshwa na nchimbi kilichomuokoa ni UTISS WAKE TU.
Kambi ya Akina Hayati...
Wakuu nimekwama kweli kweli mtaani kugumu hali mbaya kwa mwenye connection ya kazi iwe sheli au yeyote nzuri naombeni elimu yangu form 4 nitakupa laki na nusu kama ahsante πππ
Mimi nimeajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Tangu mwezi wa pili 2025 lakini hatujalipwa mpaka sasa hivi pesa yetu ya kujikimu na mishahara pia imekuwa changamoto.
Mfano mtu ameajiriwa mwezi...
Sisi Ajira mpya Morogoro DC mpaka leo hatujalipwa hela za kujikimu na tunamaliza mwaka kazini pamoja na maelekezo ya waziri TAMISEMI, bado maafisa Utumishi wamegoma.
Naomba mtupazie sauti ifike...
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga aliwapa kazi walimu kuandikisha kaya na wanakaya katika makazi bila malipo yoyote kwa visingizio kuwa mikataba yao ya ajira inasema watafanya majukumu...
Hey Wana JF
Nina uhitaji wa mtu mwenye ujuzi wa computer science na software engineering.
Awe na weledi katika masuala haya.
Blogs,
Apps,
Logos designs,
Wallpapers,
Photography,
Broadcasting...
Nilikuwa na Fanya kazi kama Mwalimu wa Somo la Kemia na Biolojia Shule ya Sekondari Uroki, Kata ya Machame Uroki, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
Habar wapendwa
Kuna huyu dada angu ana miaka 25
Elimu kidato cha one
Amesomea utalii ngazi ya certificate
Anaomba muamsaidie kazi yoyote halali ambayo anaweza kujiingizia kipato
Anapatikana moshi...
Leo mtatiro anawaamisha watumishi walio kuwa na shida ya ubadhifu na matumizi mabaya ya MADARAKA alafu mtatiro anaamua kama jitu la CCM na sio Cuf?
Hivi Mtatiro Ujui ukifa UTAKUTANA maelf...