Mwaka 2025 Mwezi wa 10 Serikali ilitangaza ajira kwa Kada ya Elimu na Afya, ajira zikatolewa kweli na mwisho Waziri kasema zoezi limeshafungwa ilihali kwenye Kada kama Tabibu Daraja la Pili...
Tunalazimika kutoa malalamiko yetu kwa uwazi na kwa msisitizo mkubwa kwa Baraza la Madaktari Tanganyika kuhusiana na ucheleweshwaji usio na maelezo wa matokeo ya Post Internship Examination...
Our NGO is looking for passionate trainers and mentors to support a program empowering visually impaired youth with digital, workplace and entrepreneurship skills.
We are looking for experts in...
Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025.
Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa.
Tunateseka sana, tunaomba...
Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika.
Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa...
Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira...
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?
Jibu sahihi ni ๐๐บ๐ถ๐ฐ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐๐ฟ๐ผ๐๐ฝ ๐๐ผ๐น๐ฑ๐ถ๐ป๐ด๐ ๐๐ถ๐บ๐ถ๐๐ฒ๐ฑ (๐๐บ๐ถ๐ฐ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐๐น๐ฒ๐ฎ๐ป๐ถ๐ป๐ด ๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐๐ถ๐ฐ๐ฒ๐) โ kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri...
Kwa uzoefu wangu ya miaka mitatu,
1. Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 400
2. Nimetumia platform zote za freelancing
3. Nimefanya kazi zaidi ya masaa 10,000
4. Nimetengeneza chain ya clients...
Heidelberg Materials Tanzania Recruitment 2026 โ Official Job Vacancies
Heidelberg Materials Tanzania has opened a new recruitment round through its official recruitment portal, presenting...
Senior Credit Data Scientist (1 Position(s))
Job Location:
Head Office, Hq
Job Purpose:
To provide competent and reliable support on credit related projects including system development /...
Senior Credit Data Scientist (1 Position(s))
Job Location:
Head Office, Hq
Job Purpose:
To provide competent and reliable support on credit related projects including system development /...
KPS TRAINING INSTITUTE
JOB ADVERTS
Electrical Installation โ Tutor (Full time & Part time)
Qualification:
-Holder of Ordinary Diploma (NTA Level 6) in Electrical and electronic engineering or...
Dr JF nmembers naomba kusaidiwa mimi vyeti vyangu vya kuzaliwa na shule majina yake ni ya kiislam โMwanaidi Juma Kataniโ lakini ndoa yangu ni ya kikristo na majina ya vyeti vya ubatizo na ndoa ni...
Walimu 25 katika Manispaa ya Kigoma Ujiji tulishushwa madaraja bila taarifa yoyote huku Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), ndugu Nathan Balanzinze akasema alikosea kutupandisha vyeo...
Naomba kushare nafasi ya kazi, kuna rafiki yangu anahitaji mtu wa kumsaidia kuuza duka la dawa morogoro mjini mwenye sifa. Mambo mengine wataongea nae waelewane.
Ajira zikitangazwa na sisi tutangazwe au TAMISEMI watupe majibu kwa nini hatuajiriwi, kwa fani tuliosomea wanaajiriwa wengine tu.
Ni sisi Walimu tuliosomea BACHELOR OF EDUCATION IN PRIMARY...
Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini.
Kwa kweli tunapata shida sana.
Naomba...