Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mkurugenzi wa Nzega Mji aangaliwe, maana ananyanyasa watumishi na anatumia Madaraka yake vibaya dhidi ya watu wake wa chini. Kuna watumishi kadhaa ambao uwezo wao ni mkubwa wamelazimika kuondoka...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Anonymous
Tumeajiriwa mwaka 2024 mpaka sasa hutujathibitishwa kazini na afisa utumishi anasema yupo busy na kazi nyingine tunashindwa kufanya mambo mengine na wanatutishia kusitisha ajira zetu
2 Reactions
12 Replies
376 Views
Anonymous
Habari; Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Anonymous
Ombi kwa Waziri wa Madini kuna kampuni ya uchimbaji dhahabu ipo Musoma Vijijini, Kijiji cha Kwitope inaitwa GDM, haitendi haki kwa sisi wafanyakazi, mshahara ni shida, mikataba ya ujanja, mtu...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
International Job Positions – Energy & Petroleum Disciplines (2026) Dear Colleagues and Friends, Yangtze University School of Petroleum Engineering is pleased to announce international academic...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Anonymous
Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata...
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Anahitaji mdada kwa ajili ya duka la nguo , lipo mwananyamala komakoma awe anayeishi jirani na maeneo hayo, mshahara 150,000, awe na uwezo wa kutumia social media kutangaza Mawailiano , Whatsapp...
7 Reactions
14 Replies
373 Views
Wanahitajika vijana 100 kwa ajili ya kazi ya kutengeneza akaunti na kuwasajili mafundi kwenye APP mpya...
5 Reactions
66 Replies
951 Views
Mimi nikijana Nina umri wa miaka 28 natafuta kazi au kabarua nipo songea vijjini,Mimi sio mvivu nilikuwa na biashara nimekata mtaji, kukuaa Tu Ofsini sina pesa na Mali napoteza Muda
9 Reactions
63 Replies
931 Views
Anonymous
Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba. Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala. Wanalipwa mpaka sasa 340,000...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Anonymous
Bodi ya usajiri inayowasajiri wataalamu wa ukadiriaji majenzi na usanifu majengo wamegoma kutoa vyeti kwa wahitimu wote waliojisajiri kuanzia November 2025. Kikawaida vyeti hivyo hutolewa kati...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
HII NDIO SABABU HUIPATI! Kama wewe ni mtu unayetafuta ajira serikalini au sekta binafsi, kuna jambo moja muhimu unapaswa kulielewa: Hata uwe na CV nzuri kiasi gani, kama haijaandaliwa kwa mfumo...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Anonymous (ce6e)
Kuna huu mradi unaitwa TANZANIA DIGITAL PROJECT (DTP) ambao pia kwa ufupi unajulikana kwa jina la Mradi wa ‘Digital Tanzania’ unafadhiliwa na Benki ya Dunia unatekelezwa kwa usimamizi wa Wizara ya...
1 Reactions
1 Replies
180 Views
Habarini wanajukwaa? Naomba kuuliza eti kama mtu ameajiriwa na serikali(ajira mpya) na hajapewa malipo yake ya mshahara kwa zaidi ya mwezi mmoja, je mtu huyo anaweza kuandika barua ya kusimamisha...
1 Reactions
21 Replies
414 Views
Heshima yenu wote wana JF. Mnamo tarehe 22 nov 2024 niliandika uzi wa kuomba kazi au mishe yoyote hapa (nitaweka picha yake ili kurejea kwa atakaehitaji.) Leo tar 21 feb 2026 nimekuja hapa tena...
27 Reactions
228 Replies
3K Views
Handeni DC kuthibitishwa mtumishi mpaka maafisa utumishi waamue tumeajiriwa 2024 mpaka leo hatujathibitishwa na vitisho vya kusitishiwa ajira.
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Kama una bachelor degree na bado huja upload vyeti vyako ajira portal Basi tafuta chuo cha kati weka cheti chako cha NTA level 5 Hakika utaitwa sana interview ila kama utaweka bachelor degree...
2 Reactions
5 Replies
499 Views
Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho. Tunatambua kuwa sisi ni kada...
2 Reactions
19 Replies
547 Views
Ni sawa na sh ngapi kwa mishahara ya tfs kwa sasa? Kwa mwenye uzoefu wakuu.
0 Reactions
2 Replies
302 Views
Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo...
3 Reactions
12 Replies
612 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…