Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa...
Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja.
Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini...
Kuna Watumishi ambao wana nafasi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa hapa Arusha wamekuwa ni kero kubwa kwa baadhi ya Wafanyakazi.
Kati yao kuna Mhasibu na Katibu Tawala Msaidizi (Utawala), wamekuwa...
Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale...
Ninaomba mamlaka husika ziangalie kero za Wafanyakazi kwenye baadhi ya kampuni za ujenzi wa barabara nchini. Mimi ni mmoja wa wafanyakazi kwenye kampuni ya ujenzi wa barabara na tunakutana na...
Imefika wakati sasa wa kuizungumzia tamaduni inayozidi kushamiri katika baadhi ofisi zetu za umma: Kitendo cha kufanya likizo ya mwaka ionekane kama "kosa la jinai."
Kwa watumishi wengi, kitendo...
Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu.
Nina miaka 29
Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili...
Habari wanajukwaa,
Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana...
Habari za Jumapili ndugu zangu wanajamii na wenzangu,
Ninaomba kufahamu taratibu za kuomba uhamisho (transfer) kutoka Taasisi X kwenda Taasisi Y kupitia mfumo wa Utumishi (e-Utumishi). Je, kuna...
Natokea Mkalama Singida Tanzania. Mhitimu Wa Shahada ya Kwanza ya Maendeleo ya Miji na Usimamizi Wa Mazingira kutoka chuo cha Mipango Dodoma (Bachelor Degree in Urban Development and environmental...
NAFICHUA UOVU KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mimi ni mtumishi katika ngazi Elimu Msingi tuna kero ya kutolipwa kwa fedha yetu ya...
Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini.
Tunaomba...
Mamlaka iliyoanzisha Kozi hii ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro.
Sioni nafasi zikitangazwa kutoka Serikalini ingali kila mwaka wanachuo...
Kiukweli mimi ni mtumishi Halmashauri ya Chemba - Dodoma tusaidieni kuhusu vibali vya uhamisho.
Mpaka sasa tangazo lilitolewa na TAMISEMI kuwa wametoa vibali vipo kwa Wakurugenzi na kama...
Tumeona ziara ya Waziri Mkuu ikitupa picha halisi juu ya uzembe na kutokuwa na uwajibikaji wa uwazi katika Ofisi za Umma.
Tunaomba pia Waziri wa UTUMISHI (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama...
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ina changamoto kadhaa zikiwemo kutolipa madeni mbalimbali ya Watumishi kwa muda mrefu, kutolipa Fedha za kujikimu kwa ajira mpya ukitoa zile za elimu na afya...
Habari za wakati huu wapendwa,
Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya...
Mimi nimesoma fani ya misitu katika chuo cha misitu Olmotonyi kilichopo Arusha nimehitimu mwaka 2019, jana tarehe 23/03/2026 tumefanya usaili wa kwa ajiri ya nafasi za kazi zilizo tangazwa mwezi...