Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous (c258)
Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo. Hii...
0 Reactions
6 Replies
404 Views
TAKUKURU imetangaza nafasi za kazi, nafasi mpya za kazi zilizotangazwa na TAKUKURU zimegawanyika katika makundi mawili: Kundi la kwanza, Muombaji awe na angalau elimu ya shahada ya kwanza...
1 Reactions
9 Replies
574 Views
Vijana mlioomba Ajira TAKUKURU Majina ya Kuitwa Usaili yametoka kwenye Website ya TAKUKURU Kapambaneni
3 Reactions
42 Replies
9K Views
Wahitimu wa diploma ya forensic science kutoka UDOM tunapata shida kwenye kuomba ajira kutokana na mpangilio usio sahihi wa category yake, kikawaida forensic science ni Applied/Natural science ila...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Watumishi wa TCS na utumishi Dodoma jiji wanaomba rushwa ili wathibitishe walimu kazini. Walimu wengi tayari wana mwaka na miezi kadhaa kazini. Mfano walioajiriwa February 2025 hadi leo...
0 Reactions
8 Replies
405 Views
Watumishi wengi wanaotumia kalenda year waliohama halmashauri moja kwenda nyingine kuanzia mwezi wa 10 hadi mwezi wa 12 mwaka jana wamekumbana na changamoto ya kufutika kwa mipangop kazi/majukumu...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Mwenye uzoefu na usaili wa written au aptitude test za TAKUKURU atusaidie jamani tujue zinavyokua, maana wameitwa watu wenye taaluma mbali mbali Sasa ningependa kujua kama mtihani unakua Mmoja kwa...
0 Reactions
2 Replies
172 Views
Anonymous
Mimi ni miongoni mwa watumishi wa ajira mpya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambao tuliajiriwa mwezi wa nane mwaka jana. Tumekuwa na changamoto ya kupatiwa vitambulisho vya kazi na...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Anonymous
Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa...
0 Reactions
2 Replies
119 Views
Habari anahitajika dereva wa bajaji (used ) ya mkataba. Dodoma mjini mkataba ni mwaka mmoja. Vigezo - Awe na leseni -Mdhamini mmoja Kwa yeyote aliye tayari anicheck whatsapp 0743315931...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa Kada ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, kwa zaidi ya miaka sita sasa nikiwa kazini, nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa zinazofanya watumishi...
1 Reactions
4 Replies
210 Views
Anonymous (fdc6)
Habarii WanaJamiiForums. Changamoto na ni kero yangu kwenda kwa Wizara na Tume ya Ajira (Ajira Portal). Mimi ni kijana wa Kitanzania nimehitimu elimu yangu ya Form Four Mwaka 2018, pamoja na...
0 Reactions
5 Replies
321 Views
Enzi za kutafuta kazi serikalini kwa kuzunguka na bahasha za kaki mkononi kutoka ofisi moja hadi nyingine zilionekana kufika ukingoni pale serikali kupitia Sekretarieti ya Ajira ilipoanzisha mfumo...
4 Reactions
15 Replies
417 Views
Anonymous
Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa...
0 Reactions
2 Replies
240 Views
Anonymous
Watumishi wa Ajira Mpya Kada ya Afya hadi leo hatujalipwa pesa zetu za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Kahama na hakuna response yoyote hadi sasa tangu Januari 2026 na mwaka wa fedha unakaribia...
1 Reactions
1 Replies
111 Views
Anonymous
Sisi Ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, tuliajiriwa...
0 Reactions
1 Replies
158 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro hawalipi fedha za kujikimu, mtumishi anafika hadi mwaka kazini lakini hajawahi kupata kulipwa. Siku za nyuma walishatuambia tuandike barua za...
1 Reactions
4 Replies
126 Views
Anonymous
1. Watumishi wapya wa 2024, wa Wizara ya Afya Kitengo cha Porthealth Services hawajathibitishwa kazini hadi leo na wanakaribia miaka miwili kazini, hali ambayo inawanyima haki yao ya kupata mkopo...
1 Reactions
3 Replies
125 Views
Anonymous
Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi. Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na...
0 Reactions
4 Replies
250 Views
Tarehe 30, vijana walioomba nafasi za 'admission officer' wanakwenda kukutana na mtihani wa mchujo ili kuweza kuwapata wachache watakopita hatua ya pili. Nafasi hizi zina waombaji zaidi ya 3,000...
0 Reactions
4 Replies
232 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…