Reference Number CCB220222-1
Job Title Controls & Governance Manager
Job Category Finance and Procurement
Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania)
Job Type Permanent
Location – Country Tanzania...
Reference Number: CCB220318-3
Job Title: Regulatory Affairs Specialist
Job Category: Legal and Public Affairs – Communication and Sustainability
Company: Coca-Cola Kwanza (Tanzania)
Job Type...
Airtel Tanzania PLC wishes to recruit for Enterprise Operation Support Engineers-L1. The role reports to the NOC Assurance Manager. He/She will be responsible to ensure a 24/7 rota the highest...
Company Description
At Infobip we dream big. Last year, over half of the world’s population interacted with businesses through the Infobip platform. It didn’t happen by chance: through 60+...
Habar wakuu katika mapambano ya ajira ningependa kufahamu wanatoa maswali gani katika kada ya accounts na format ya pepar za utumishi zinavyotokaa katika upande huo..
Natanguliza shukran naomba...
ASALAAM,
KATIBU MKUU aliyekuwa secretariate ya ajira tunaomba ayangalie haya kipindi cha daudi yalisimama vizuri sana. Tunamuomba ayasimamie haya:
1. Usaili unapangwa zigzag tu mwanzoni...
Wakuu, naombeni sample ya application letter zinazotumika utumishi.
Je inaandikwa kwa mkono au inachapwa maana nmeona natakiwa kusaini?
Tafadhari naombeni msaada wa haraka
Habari wapendwa I hope ni wazima wa afya, naitwa Kelvin Dickson natokea Dar es Saalam natafuta kazi ya PC maintanance and Networking ambapo nimefanikiwa kupata certificate veta kipawa naweza...
Habarini Humu ndani,
Naombeni msaada au Mashauriano au Anayefahamu ni namna gani ya Kupata nafasi ya kazi katika Mashirika haya ya Umoja wa Mataifa UN, PWC, Delloite, EAC na Mashirika mengine...
Hongera Mama, Rais wetu Mh. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuupiga mwingi sisi watumishi wa Umma tupo nyuma yako katika kupeleka gurudumu la nchi yetu mbele.
Nimeona nishushe uzi huu kukupa...
Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019...
Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa.
Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata...
Habari zenu waheshimiwa.Leo nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili NHC & TPC kupitia utumishi kama ilivyo kwenye document niliyo attachment hapo chini , MimiBinafsi niliomba nafasi ya...
I am an expert in GIS and Remote Sensing applications for Land Use Planning. Specifically, I often apply GIS analysis in Agricultural Crop Production and other related projects. I am a holder...
Habari za wakati huu wakuu,
Leo nimekutana na jamaa yangu ivi muhitimu wa chuo kikuu akiwa anauza ubuyu ni classmate wangu primary, Basi tukapata wasaa wa kupiga stori mbili tatu ambazo kwa kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.