Mimi ni mmoja wa walimu waliopata uhamisho katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara. Uhamisho wa kwanza ulifanyika mwezi Desemba 2023 kwenda shule mpya za Mkapa Wasichana Sekondari...
Ningependa kupata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mfumo wa TAESA katika utoaji wa fursa za mafunzo kwa vitendo (internship) na ajira kwa vijana.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukihamasishwa kujiunga na...
Mimi ni mmoja wa wananchi ninayepata huduma katika ofisi za NIDA, eneo la Chang’ombe mkoani Dar es Salaam. Kwa kweli kuna changamoto kubwa sana kwenye namna ya utoaji huduma, hasa upande wa...
Tunafundisha masomo yafuatayo:
Physics
Mathematics
Chemistry
Kwa wanafunzi wa O-Level na A-Level.
Karibu kupata huduma bora ya ufundishaji kwa mafanikio ya masomo yako.
Wasiliana nasi: 0782044028
Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba, 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Kilimanjaro tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka...
Jamani na sisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa tulioajiriwa mwezi wa tisa 2025 tukaanza kazi Novemba hatujalipwa pesa ya kujikimu had leo hii, tunafuatilia sana lakini wapiii.
Yaani...
Kwa niaba ya wenzangu, naomba msaada wenu kuhusu changamoto tunazokutana nazo katika shule za msingi Wilaya ya Mbulu DC.
Wakuu wetu wa shule wamekuwa wakitunyanyasa kwa kutulazimisha kufundisha...
YAH: MALALAMIKO YA KUTOLIPWA STAHIKI NA MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI – TEMESA KANDA YA ZIWA
Sisi watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi...
Sisi Watumishi wa umma wa ajira mpya, katika Halmashauri ya Ngorongoro Mwaka 2026, mpaka hivi leo, hatujalipwa kabisa "fedha ya kujikimu" na hatupewi mrejesho wowote na viongozi wetu. Sasa hata...
Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa...
Watumishi tuliohamishwa toka Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mwaka 2013 (miaka 13 iliyopita) kwenda kuanzisha Halmashauri mpya ya Kaliua, hatujalipwa stahili yetu ya posho ya usumbufu (disturbance...
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakumba wafanyakazi wa sekta binafsi, hususan katika kampuni ya Lake Lubes pamoja na baadhi ya kampuni zake tanzu.
Licha ya agizo la Serikali kuhusu kima cha...
Changamoto ninayopenda kuwasilisha inawahusu baadhi ya watumishi wa umma katika Halmashauri moja mkoani Arusha, ambayo sitapenda kuitaja kwa sasa.
Tumekuwa tukikatwa michango ya chama cha...
Sisi watumishi wa ajira mpya mwaka 2025 katika kada ya ualimu, Wilaya ya Iramba, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu changamoto kubwa tunazokumbana nazo kazini.
Kwanza, tunaingizwa katika...
Habari za Masiku ndg zangu,
Leo hii nimekuja na thread maalum kwaajiri ya wasailiwa wote wanaoitwa Utumishi for interview hasa hasa ICT officers becoz ni kada yangu ambayo imenipatia dream job...
Vijana wa kufanya Installation tumezulumiwa malipo yetu, huu unaenda mwaka sasa, na Airtel team imeingilia bila mafanikio zaidi ya ahadi feki.
Out Door Unity (ODU) ndio vifaa vya Airtel...
Habari Wapendwa.
Natafuta House Manager for Mbweni Karibu House.
Kama unamfahamu mtu mwenye uzoefu kwenye sector ya hospitality, awasiliane na karibuhouse.mbweni2026@outlook.com.