Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Sisi ni walimu wenye shahada tulioajiriwa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Tumekaa miezi minane tukisubiri malipo ya fedha za kujikimu na nauli, tukiamini kuwa hatimaye...
2 Reactions
8 Replies
210 Views
Anonymous
Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, hususan katika vituo vya mikoani, kuna malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi ambazo zinaonekana kutotumika ipasavyo. Kwa mfano, kuna vituo...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya. Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya. Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa...
0 Reactions
3 Replies
58 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, kumekuwepo na kero ya kutolipwa stahiki zetu za likizo na posho za kujikimu ilihali hela zote zishatolewa Hazina na kuwekwa wilayani...
0 Reactions
1 Replies
73 Views
Anonymous
Walimu walioajiriwa mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuliporipoti kazini hadi leo, huku kimya kikiwa kimetawala na bila kupewa maelezo yoyote...
0 Reactions
5 Replies
62 Views
Wakuu najua jf hii ina watu wengi sana ebu tupeane michongo tutoane tongotongo.hivi ni ujuzi Gani ukijifunzia unaweza kufanya kazi kama remote hata kama ukiwa Tanzania job unafanya na unapata...
5 Reactions
78 Replies
1K Views
Sisi walimu tulioajiriwa tarehe 12/06/2023 katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, Mkoa wa Tanga, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kutolipwa mshahara wa mwezi Juni 2023 hadi sasa...
0 Reactions
0 Replies
7 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Salam ndugu zangu natanguliza shukrani kwa Muumba wetu. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu ninahitaji mtu mwenye koneksheni ya kazi za...
0 Reactions
9 Replies
777 Views
Habari zenu! Kuna rafiki yangu, mmoja hana kazi, bado anatafuta, lakini anajitapa hawezi chukua kazi chini ya m1.5 especially ikiwa ya mkoa. Je ni kweli?? Serekalini unalipwa mishahara kama hii...
1 Reactions
46 Replies
17K Views
Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing...
1 Reactions
10 Replies
132 Views
Habar za wakati huu, Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za...
0 Reactions
0 Replies
30 Views
Mimi ni kijana wa kiume niko mbele yenu wanajukwaa kunisaidia kupata kazi hasa za ufundi mimi ni mtaalam wa fundi selemara , fundi wa kuchomelea na kuunga vyuma na fundi aluminiamu lakini pia...
2 Reactions
4 Replies
77 Views
Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss...
2 Reactions
4 Replies
78 Views
Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa. Soma: Mufindi...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Habari nahitaji Mfamasia Ngazi ya Degree! Aliye tayari tuwasiliane: Contact: 0672473087
1 Reactions
3 Replies
157 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa nafasi za kazi katika ofisi za TAKUKURU Wilaya kama inavyoonekana hapo...
4 Reactions
72 Replies
3K Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa la watumishi wengi wa kada ya afya, hususan katika kada za Clinical Officers (C.O), Nursing na kada nyingine za afya, kuamua kubadili taaluma zao na kusomea fani tofauti...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Anonymous
Sisi Wafanyakazi 36 tuliokuwa waajiriwa wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) baada ya kuachishwa kazi kwa kile wanachodai kulikosekana uwajibikaji, tumegundua kuwa kuna changamoto ya...
1 Reactions
7 Replies
238 Views
Nimemaliza chuo sasa nataka kuchangamkia fursa za ajira mtandaoni. Wapi naweza pata kazi za mtandaoni ukiacha Upwork na Fivver?
2 Reactions
6 Replies
69 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…