Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ndugu zangu wana jamvi, habari za muda huu? Mimi nina jambo langu hapa kuhusu serikali kuwapa ajira vijana wa JKT, kila mwaka serikali huchukua maelfu ya vijana ambao huenda kujitolea huko Jkt...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wana jamvi! Naomba kuuliza market availability ya assistant lecturers wa History ukoje? Je endapo mtu ana GPA ya 3.8 undergraduate na 4.5 masters anaweza kupata nafasi mapema kutokana na...
1 Reactions
2 Replies
870 Views
Hatimaye kwa mara ya kwanza nimelipwa mshahara tangu nimeanza kazi kwa huyu Mhindi. Lakini kulipana mishahara kwenyewe mpka mshikane mashati yaani mpka muanze kupelekeshana wee ndo mshahara...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Natafta kazi ya utabibu napatikana Dodoma. Hata shirika lolote la afya am available
1 Reactions
0 Replies
424 Views
Habari wakuu. Naimani wote mko salama na majukumu yanakwenda. Ninatafuta Kazi ya muda mfupi/mrefu ya kufanya data analysis and visualization na creating of dashboard kwakutumia Excel. Kama...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
SEM BUSINESS COMPANY:Ni kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania chini ya mamlaka ya usajili wa makampuni nchini Tanzania BRELA(Business Registrations and Lincensing Agency) chini ya kipengele cha...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Moshi Kilimanjaro Kijana wa miaka 28 Anatafuta kazi Moshi-Kilimanjaro Kamaliza Internship ya Medical Doctor Yuko tayari kufanya kazi yoyote halali ndani ya Moshi Sex: Me Age: 28 Location: Moshi...
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Habari wadau, Naomba kupata elimu kuhusu hili suala langu hapa. Nilipitisha barua yangu kwa mkuu wangu (DG) kwa lengo la kuomba nafasi taasisi X. Je, wakati wa kuomba kibali nalazimika kupitisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kama kuna mtu ana ufahamu na uhandisi wa MELI ( marine engineer) acomment hapo, kwa faida yangu na wengine. Vitu kama masomo yake, ajira, mshahara, ugumu wa kazi n.k. chochote unachojua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta mwl anayeweza simamia Day care kama mwalimu mkuu Shule inapatikana Kimara Mwisho.(njia ya Dawasco) Sifa: 1.Awe na sifa ya uongozi. 2.Awe amesomea Ualimu. 3.Uzoefu wa miaka 3 akiwa...
2 Reactions
5 Replies
604 Views
Nitoe shukrani zangu zote kwa wadau wote wa jukwaa hili. Kupitia elimu ya humu nilizingatia maoni ya wadau jinsi kutoboa au kupata kazi serikalin kupitia utumishi. Hatimae leo naenda kuchukua...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu!! Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana. Elimu: Degree ya Computer Science UWEZO 1. Programing (C++, Python, Visual basic) 2. Computer Mantainance...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari, Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi nataka kufahamu kuhusu jinsi ambavo naweza kujitolea kwenye hizi NGOs sema sijui taratibu zake zinakuwa vipi. Je ni kwamba mpaka watangaze au sio...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Uzima upo wanaJamvi? Naomba kwa yeyote aliye tayari, tuungane week ijayo kuzunguka viwandani kutafuta KAZI Mimi naishi Dar es salaam Sina kazi kwasasa, Nahitaji mwenye nia kama yangu tuunge...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu ambaye amesomea lab technician ngazi ya diploma sasa amekuja town huu mwezi mzima sasa umekata ni mwendo wa kukaa tu ndani sielewi hata naanzia wapi kumtafutia hizi private...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wana JF natafuta mtu mwenye cheti cha uuzaji wa maduka ya dawa ADDO, akipatikana jinsia ya kike itakua vizuri zaidi. Mkoa ni Ruvuma, Songea mjini.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkapige DEPO vijana
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Baada ya kimya kwa muda mrefu kwa changamoto za hapa na pale za kidunia nina mshukuru mungu kunipambania na kunipa afya njema na kurudi imara. Wakurugenzi wangu mim ni kijana wa kitanzania ambae...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Kijana, yoyote mzoefu wa KUCHOMA chips na mishikaki aliewahi Fanya hiyo kazi hapa Dar es Salaam au sehemu nyingi tuwasiliane aje PM. Au kama anafanya tayari kuna ila hana mtaji wa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom