Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari za mapambano Wanamembers.Kama ulikuwa unafanya kazi chini ya halmashauri ukahamishiwa wizarani mshahara unabadilika? Mfano ulikuwa mwalimu na ukahamishiwa wizara ya elimu ,je mshahara...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na...
5 Reactions
23 Replies
333 Views
Wakuu, naomba uzoefu na facts kutoka kwa watu waliowahi au wanaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali Tanzania, hasa kwenye eneo la Procurement/Supply Chain. Kuna taasisi ambazo kwa nje zinaonekana...
1 Reactions
0 Replies
60 Views
Mkuu wa Shule ya Nyampulukano Secondary pamoja na Walimu watatu wameshtakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka, kugushi nyaraka na kumdanganya mwajiri, lakini mpaka leo Mkuu wa Shule yupo...
6 Reactions
13 Replies
200 Views
Habari wakuu, Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira. Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu...
8 Reactions
39 Replies
583 Views
Wakuu eti wizarani kama wizara ya fedha mshahara ni shngp wanalipa
1 Reactions
24 Replies
6K Views
1.TRA 2.NSSF 3.PSSSF 4.BOT 5.UDSM 6.DAWASA 7.TANESCO 8.MUHIMBILI HOSPITAL 9.IKULU 10.CRDB BANK 11.TISS 12.Police 13.PSRS 14.NHIF 15.CCM 16.NIDA 17.Wasafi media 18.clouds media Staff wa hizo...
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Kutokana na gharama za maisha kuwa kubwa,nimekuwa nikipambana kupata kazi ya ziada hasa online ili kuendana na mahitaji maan mishahara haitoshi,lakini imekuwa ngumu kupata hizo websites za kweli...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
Ofisi ya Rasilimali Watu inapenda kuwatangazia wafanyakazi wote fursa za ajira mpya za Passenger Service Officer - PSO (160). Mambo Muhimu ya Kuzingatia: 1. Sifa za Elimu:Kuanzia Kidato cha...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026 Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na...
0 Reactions
2 Replies
64 Views
Anonymous
Kampuni ya ulinzi ya Insight, iliyopo Dar es Salaam, ina askari wanaofanya kazi katika mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi. Kwa sasa, baadhi ya askari wanaelezwa kuwa mikataba yao inasitishwa kutokana...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA Ndugu Viongozi, YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA...
2 Reactions
0 Replies
49 Views
Ninaomba kuwasilisha kero yangu kuhusu mchakato wa uhamisho katika Mamlaka za Serikali za Mitaa. Niliwasilisha ombi la uhamisho kupitia mfumo wa Employment Self Service (ESS), kutoka Halmashauri...
0 Reactions
2 Replies
66 Views
Nina changamoto. Nilifukuzwa kazi February na sasa ni kama miezi sita imepita nimewasilisha claim PSSSF ya fao la special lumpsum baada ya kukosa ajira kwa siku 90 ila hadi leo hakuna majibu...
0 Reactions
2 Replies
56 Views
Habari ndugu na jamaa. Naombeni kufahamu zaidi kuhusu mchakato wa kua shortlisted katika nafasi za serikari kwajir ya interview. Kwa gpa iyo apo inawezekana kuitwa kweny interview!?
2 Reactions
12 Replies
193 Views
Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma DC kuna wafanyakazi wa muda (temporary) hawalipwi mishahara yao zaidi ya miezi mitatu, na hata wakilipwa baada ya miezi hiyo wanalipwa mwezi mmoja...
0 Reactions
1 Replies
49 Views
Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi...
29 Reactions
544 Replies
67K Views
Habarini, Mimi ni Kijana (ME) wa kitanzania muhitimu wa kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering mwaka huu Nikiwa na uzoefu na kazi za Highway, Structural na Water Engineering niliopata...
0 Reactions
1 Replies
37 Views
Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa...
25 Reactions
62 Replies
2K Views
Anonymous
Sisi Wafanyakazi wa moja ya kampuni iliyopo Mkuranga, Mkoa wa Pwani, inayomilikiwa na raia wa kigeni, ambayo inajihusisha na uzalishaji wa tiles na bidhaa nyingine zikiwemo za ndani ya nyumba...
2 Reactions
7 Replies
120 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…