Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wakuu, poleni na majukumu. Siku ya leo nimeingia ajira portal na kukuta mabadiliko fulani nikashindwa kuelewa japo Hii ni mara yangu ya 7 kuomba kazi utumishi. Kwa wale mliokuwa...
2 Reactions
235 Replies
83K Views
Kwa wale mliyowahi kufanya usahili wa PSRS na kufanikiwa, status zilileta mabadiliko gani? Tusaidieni tuelewe vizuri. Kuna hii selected for null na not selected for null kwenye app.
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Mama mtu mzima ,umri miaka 40 anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni ,au kazi yoyote halalI ajipatie kipato,. MahalI popote pale hata kijijini.yupo tayari
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari... Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi anayotupatia mpaka saa hii🙏..... Mimi ni mhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo SUA (Sokoine University...
1 Reactions
2 Replies
668 Views
Sina maneno mengi,vijana mjiandae ,nadhani hii itakya kwa mara ya kwanza Tamisemi kufanya hii kitu.
0 Reactions
4 Replies
836 Views
Habari zenu wakuu! Naomba kujua baadhi ya Maswali ambayo yanaulizwa kwenye Interview (Oral na Written) kwa nafasi ya Tutorial Assistant.
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari wanajamii? Kama Uzi unavyojieleza, Toka 2018 nimekuwa mwalimu wa hiari WA somo la fizikia, kutokana na kukosa kazi ya taaluma niliyoisomea, nimesoma Bsc. Information systems, nilikua...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Jaman Nina wazo naomba nisikilizwe hivi ni Kwa Nini serikali isiajiri wahitimu wa vyuo vikuu kama wanavyoajiri waalimu na baadhi ya kada za afya bila kuwafanyia interview? Namaanisha kwamba Kila...
13 Reactions
131 Replies
8K Views
Nimekutana na hii mtandaoni! Inaweza kuwasaidia wadau! Wachapakazi kazi kwenu!
1 Reactions
14 Replies
514 Views
Wanaitaji: • Kinyozi 1 • Msusi 1 • Msafishaji na kuremba kucha 1 Aina ya kazi, kuwezesha: • Urembo(wanawake) • Utanashati(wanaume) Sehemu ya kazi: • Kivule - Ilala(DSM) Mwajiri: • Mtu...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Jamani mimi najua kuchora ila nataka kupata kampuni ya kutengeneza katuni kwani napenda kuchora na kujifunza vingine.
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Position: MECHANICAL DRAUGHTSMAN Areas of Responsibility: As assigned by the supervisor. Reports To: MCC MANAGER Specific Knowledge Minimum of (5) five years of hands-on experience in the...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Hello naitaji bio-medical engineer Sehemu ya kazi Zanzibar Part-time Full time Tafadhali mwenye interest ahe inbox Mwisho 25th August 2024
0 Reactions
2 Replies
413 Views
JOB DESCRIPTION MEL TECHNICAL SPECIALIST/ADVISOR Accountable to: IIDC Executive Director Directly Reporting to; Head of Programs Based in: TANZANIA Deadline: 16th September, 2024 About...
0 Reactions
0 Replies
369 Views
Habari zenu watanzania ndugu zangu Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari, call center au afisa uhusiano wa umma Pia...
2 Reactions
3 Replies
507 Views
Job Title: Direct Sales Executive Tenure: 6 months (Renewable subject to performance) Location: Dar es Salaam Mwanza Arusha Kilimanjaro Dodoma Mbeya Job Purpose: Drive retail sales objectives...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
INTERNSHIP OPPORTUNITY ICT OFFICER Click this link 👉🏽 PRASDEL | Journalism Tutor at Dar es Salaam School of Journalism (DSJ) and apply straight away. Call|SMS|WhatsApp: 0735717253 Please...
1 Reactions
0 Replies
433 Views
Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni, piah ni muhitimu wa stashahada katika fani ya PROCUREMENT, LOGISTICS AND...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Sightsavers is looking for an expert in Eye Health to provide technical leadership across all eye health programmes and strengthen the global programme portfolio. Salary: Local terms and...
0 Reactions
0 Replies
432 Views
Back
Top Bottom