Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Hello members tangazo limeisha muda .. Na wahusika wameshapatikana
4 Reactions
9 Replies
670 Views
Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi WAOMBAJI - 135,027 Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027 NAFASI - 1,596 20 % kwa Wazanzibar - 319 80 % kwa Bara -...
0 Reactions
3 Replies
446 Views
Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa
3 Reactions
9 Replies
782 Views
HELLO QUICK _CONNECTTZ inakusogezea huduma nzuri ya delivery kwa watu walikosa nafasi na walio bizy tunafanya delivery maofisini na hata mahitaji ya nyumbani kama vile mboga mboga na nafaka kwa...
2 Reactions
0 Replies
255 Views
Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Tafadhali pokea kiambatishi kifuatacho. Kwa Mawasiliano zaidi usisite kutupigia 0741266566 au kufika ofisini kwetu ghorofa ya 20 jengo la PSSSF Millenium Towr II. Karibuni sana
0 Reactions
6 Replies
545 Views
Habari wadau, poleni na majukumu yenu. Samahani naomba mnishauri katika jambo lifuatalo. Mimi ni graduate katika fani fani ya Mazingira. Nimeshasota sana mtaani pasipo kuwa na kibarua au ajira...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
ASANTENI SANA TAYARI TUMESHAPATA WAFANYAKAZI KATIKA NAFASI ZOTE TULIZO TANGAZA
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nilifanikiwa kupita kwenye interview ya kazi ya Junior HSE Officer na ninatakiwa kupeleka documents kadhaa siku ya kurepoti. Mojawapo ya documents nilizoambiwa ni NSSF number...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
2024 mpk 2025
2 Reactions
3 Replies
475 Views
Habari zenu wana Jamii Forums Mimi ni kijana miaka 23 niliehitimu Diploma ya Insurance and Risk Management IFM mwaka jana, Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job. Tafadhati naomba kama...
4 Reactions
9 Replies
957 Views
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana...
2 Reactions
10 Replies
798 Views
Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu. Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! 🤔 0787044620 my number
1 Reactions
11 Replies
872 Views
Msaada wana JF kwa anaejua namna yaku upload passport size photo kwenye ajira portal
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi nasikia tu kuwa Zanzibar Kuna kazi nyingi za ulinzi, kampuni nyingi nimewatafuta ila vigezo vyao wanataka mtu alopitia mafunzo ya mgambo au jkt. Sasa ikiwa Kuna mtu yoyote anaijua kampuni...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari watanzania humu ndani.Nimekuwa nikiskia Kwamba UTT AMIS inaruhusu kuwekeza Fedha Kwa riba nzuri tu ila sijui process za kujiunga na kutumia.Naomba msaada. Uzi umeisha.
5 Reactions
2 Replies
465 Views
Hello Boss I'm a reliable, adaptive, flexible, energetic young man with readiness to learn new skills and achieve the desired achievements. I've worked as salesperson,,painter, printing machines...
3 Reactions
3 Replies
435 Views
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana...
10 Reactions
48 Replies
3K Views
Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…