Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Ndugu zangu ni kawaida imezoeleka kwa CRDB kuajiri nafasi za bank officer katikati ya mwaka yaani mwezi july, na hii inakuwa katika zonal office, mfano last year nikiwa 2nd year. Nimejaribu...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Umri miaka 26, Kama unahitaji dereva wa BAJAJ, BODA BODA na Private Car. Lesen ninayo Class A,B, na D. Nipigie 0786 004170 DSM
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Natafuta mwalimu sekondari wa kubadilishana nae kituo aje mtwara manispaa mimi niende morogoro town. Kama uko tayari jitokeze ili tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wana JF yaaani nimefanya interview tatu na zoote nimekosa kazi yani itabidi niende kwa mganga aise muda mwingine najihisi nina mkosi
0 Reactions
45 Replies
6K Views
wana jf kwa yoyote mwenye taarifa juu ya aptitude test results ya bank tajwa hapo juu tujuzane.... thanks.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wadau. Mzee wangu ni wale wazee wa miaka ilee maisha ya soft tach ( Maisha rahisi). Yaani enzi zilee za mashirika kwa hiyo wao maisha ni marahisi tu. Pia anasehemu zake za biashara maeneo...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari! Nina rafiki yangu ni askari yupo katika moja ya kambi za mafunzo jeshini, personally ni graduate 2012 japo nimepata pa kujishikiza ila nilikuwa na interest ya kujiunga na TPDF...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Natafuta mwalimu wa somo tajwa juu (F5 syllabus mpya ya NBAA), Napatikana 0688 668 385/0764 590 690
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani jamani saa tisa hiyo jtatu hii mpaka sasa bila bila majina ya koplo na konstebo ya uhamiaji kimya !! Mwenye taarifa majina yatatoka lini atujuze wa jf
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guys! I am on a final process to acquire a 8m loan from one of reputable commercial banks in TZ! Any business idea please! Viable idea shall be awarded. Thanks in advance
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta kijana wa kunisaidia kuuza sahani kwa njia ya kupigia debe maeneo ya ubungo stend ya daladala na kimara mwisho!!Malipo maelewano napatikana 0719129650 na watsapp pia.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mwenye application form ya Viettel please naomba anitumie manengula@gmail.com maana niliapply enzi zile za egotel na nika-submit kumbe limechukua shirika jingine mimi sikuwa na taarifa. So...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu waJF naomba kwa yeyote anaewafahamu vizuri hawa jamaa wa RE/MAX TANZANIA anijuze wanajishughulisha na nini haswa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadau natafuta kazi katika salooni ya kiume....mimi ni msichana mawasilano yangu kwa yeyote mwenye hizo dili,ni 0653362784
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KADA:COMPUTER SYSTEM ANALYST II (MOBILE APPLICATION) MWAJIRI: eGOVERNMENT AGENCY NUMBER SCORE REMARKS eGA-CSAII-MOB-APP PRACT-005 5 NOT SELECTED eGA-CSAII-MOB-APP PRACT-001 2 NOT...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
JOB DESCRIPTIONApplication DeveloperPOSITION : Application Developer DEPARTMENT : Technical Department LOCATION : Push Mobile Main Offices REPORTS TO : Head of Applications DevelopmentSummary:The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu, naomba vijana kumi, wenye laki tatu kila mmoja, lengo ni kuunganisha nguvu ya mtaji kwa kuanzisha vyuo vinavyotoa certificate kama vile zoom, the genesis n.k...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Natafuta msichana wa kufanya kazi ktk salon ya kiume... Ipo Dar- Ubungo.......mshahara wa ukweli..... Simu 0752-109265...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kuna mhusika huko, au kama uko huko (kiwira), naomba kufahamu machache kuna vijana wangu wapo huko hawaishi kuniomba pesa ya vitu ambavyo inaonekana mwanzo havikuoneshwa kwenye maelezo. Sasa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wadau niko vizuri sana katika hizo lugha, kama kuna kazi naweza fanya, nisaidieni
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom