Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Jamani waungwana anaejua utaratibu wanaoutumia nakumati kupata vibarua unafanyaje? Anisaidie tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
JESHI LA KUJENGA TAIFA LINAWATANGAZIA VIJANA WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KUWA WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIYOPANGIWA KUANZIA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014 NA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini wapendwa, Naomba msaada wa kujuzwa jinsi interview za pride tanzania zinavyokuwa kwa aliyewahi kufanya kwa post ya credit officer.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
W
0 Reactions
0 Replies
935 Views
hii ni moja ya taaluma muhimu katika jamii yetu kuhakikisha maendeleo kwa haraka sasa.je ajira zipo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Zenu Wakuu,nisaidieni Wenzangu,kwa Utalam Wangu Wa Luga Hizo Natafuta Kazi Kwenye Secta Ya Kitalii/hoteli.Nina Uzoefu Wa Kufanya Kazi Kwenye Idara Za F/O,housekeeping,gift shops na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye kujua website tofauti tofauti ambazo uwa zinatangaza nafasi za kazi mbali mbali. Please
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Uchunguzi na tume iliyoundwa kufanya kazi juu ya ajira zilizositishwa kwa nafasi ya koplo na konstebo leo ndo siku ya kwanza !! Tunasubiri majibu kwa hamubkubwa sana sisi watoto wa wakulima...
0 Reactions
85 Replies
17K Views
mwenye uzoefu na external auditor
0 Reactions
0 Replies
943 Views
mwenye majibu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KwanzaKilwa (Emerging Gypsum mining Company) is looking for a professional, energetic, passionate, motivated and creative Head of Operations to lead the company to the new heights. The duration...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Natafuta kaz ya tempo, nina diploma ya business management.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona post hizi Assistant Supplies Officers ambazo zilitangazwa awali sasa hivi zimetangazwa tena na deadline tar 19 August,2014 sasa najiuliza kulikoni? It means hawakupata watu qualified au i...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wenye mradi wa YAP, wametoa nafasi ambazo ndio zimefikia mwisho wa kuomba, Je ni za kweli maana nakumbuka last time waliibia watu.
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya physics ma mathematics,kwa muda wa mwaka mmoja nitafute 0757826042
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nisaidieni wanajamii forum
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wapez wa JF natafuta part time job or full job yoyote tu nimemaliza chuo mwaka huu june nimesomea sociology ngazi ya degree
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Nina uwezo wa kufundisha masomo ya physics na mathematics,nitafute kwa namba hii 0712708953
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Mwenye taarifa za kuitwa interview kwa kazi walizotangaza july mwaka huu atujuze. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF,natafuta nafasi ya kufundisha kwa muda wa mwaka mmoja masomo ya physics na mathematics. plz nitafuteni kwa namba hii.0712708953
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…