kweli kaka hata mimi nimeona ni majanga tupu sijui nini tatizo ngoja tusubirNimeona post hizi Assistant Supplies Officers ambazo zilitangazwa awali sasa hivi zimetangazwa tena na deadline tar 19 August,2014 sasa najiuliza kulikoni? It means hawakupata watu qualified au i have seen a fake job advert? Correct me plse...!!!
Tangazo lipo pia kwenye website yao. Nachoshindwa kuelewa ni kuwa hawajawa qualified wale walio apply mara ya kwanza au vipi, na kwa sababu ni re advertised, wa apply tena mara ya pili?Nimeona post hizi Assistant Supplies Officers ambazo zilitangazwa awali sasa hivi zimetangazwa tena na deadline tar 19 August,2014 sasa najiuliza kulikoni? It means hawakupata watu qualified au i have seen a fake job advert? Correct me plse...!!!
Inaonekana labda kuna mtoto wa kigogo hakuombaga za mwanzo!!!!
Tangazo lipo pia kwenye website yao. Nachoshindwa kuelewa ni kuwa hawajawa qualified wale walio apply mara ya kwanza au vipi, na kwa sababu ni re advertised, wa apply tena mara ya pili?