Kiukweli hata mie kama mtaalam wa mambo ya maendeleo ya jamii sioni jitihada za makusudi za serikali ktk kuajili wataalamu wa maendeleo ya jamii kwa wingi kama ambavyo labda inafanya kwa watendaji wa kata au mafisa wengine waliopo kwa wingi kwenye jaamii zetu.
Hivi watu waliosomea hizi fani huwa wanafanya shughuli gani specific? Na wanataka ajira ya namna gani?
Nachojua jamii ni mjumuiko wa watu wote sasa unaposema umekosa ajira wakati unaishi kwenye jamii inakuwaje hapo.
Fanyeni kazi bana kwani jamii si hiyo inayowazunguka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.