Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Msaada wenu jamani please nicheki kupitia patrickpaul587@gmail.com
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anatafutwaa Kinyozi mmoja..... wa Salon Ya kiume!!.....!!. PM yur number Dar es salaam
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wana jf naombeni msaada wenu ivi barua za maombi ya kazi zilizotangazwa na jeshi la magereza inatakiwa kutype au kuandika kwa mkono. Nauliza ivi mana hawa waajiri huwa wanatafuta sababu zisizo na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimemaliza ka degree kangu ka BBA in marketing kiukweli hali ya maisha ilikuwa ngum sana kwani nilijaribu hapa na pale kutafuta angalau sehem ya kujishikiza bila mafanikio basi nikaamua kurudi...
7 Reactions
88 Replies
12K Views
Kuna tangazo la kazi linatangazwa clouds fm,wanasema makampuni yaliyowekeza kwenye gesi yanatangaza nafasi za kazi kwa watanzania, sharti ni lazma uchukue form na kusoma course zao,kuchukua form...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Rafiki yangu kaitwa usaili nafasi ya Receptionist je waliowahi fanya usaili katika nafasi hii huko sekretariet ya utumishi wa umma hebu mpeni vijipoint kidogo jamani
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi maisha dar kwa laki net yanaenda? ushauri plz,
0 Reactions
75 Replies
12K Views
Hello wanajamii kuna yeyote anayejua kuhusu second interview ya DTB kwa wale waliofanya interview, post ya Officers Internal Audit. Nijuzeni progress wameshaita? maana walipiga tu simu
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Ndugu wana JF naomba msaada wa kufanya naye kazi mtu yeyote anayejishughulisha na masuala ya ki IT HAPA DAR ES SALAAM kwani toka nimalize shahada yangu ya information system toka mwaka 2012...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi hawa REPOA unawezaje kupata kufanya kazi nao na huwa mtu apate kazi kwao anasifa gani au huwa wanatangaza nafasi za ajira? na wanalipaje? Mwenye uelewa atufahamishe kidogo Asante
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello JF members Nimeona niwarushie nanyi nafasi zilizotoka hapa kwetu leo... fungua file na angalia inayokufaa apply. Kuna doc moja hapo inatoa address ya jinsi ya ku apply.... sina la ziada na...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Mimi ni kijana nimemaliza kidato cha sita niko na uzoefu wa kufanya kazi za kuendesha vituo vya mafuta kwa miaka 3 nimefanya kazi kwa mkataba na kampuni mbili giant for fuel supply. Natafuta kazi...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
wadau kwa yeyote anayejua kuhusu hiz nafas zilizotangazwa july kama intavw tayar atujuze
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ZILE AJIRA 200 ZA NAFASI ZA KONSTEBO NA KOPLO ZILIZOSITISHWA Na IDARA YA UHAMIAJI ZIMEZUA TAAFRANI KATI YA IDARA HIYO NA VIONGOZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKATI WIZARA ILIKUA INATAKA KUTANGAZA...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
SIjui kama imeshawekwa hapa jukwaani. Ila ni kada tofauti tofauti. Matangazo ya muda kidogo nadhani application za mwezi wa 4 au wa 5 hivi. Tarehe za usaili ni 24, 25 na 26 Sept. PDF Hii hapa...
1 Reactions
16 Replies
26K Views
Hbr wana JF! Kuna idea nimeifikiria hapa, kama itafaha basi tuifanyie kazi! Tunapoelekea kwenye uchaguzi, kama ww ni mwanachama au sio, waweza kuungana na wenzako wenye uelewa na kuonana na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
cio vizuri kumdharau mtu bz ni mlinzi kwanza utakuta mtu mwingne ni customer care wa kampuni za simu eti unamdharau mlinzi kua analipwa hela ndogo bila kujua anakuzidi hata wewe graduate kwa...
0 Reactions
45 Replies
17K Views
hello dears. Habari zenu. natafuta kazi nina DIPLOMA IN LOCAL GOVERNMENT ADMINSTRATION . Asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau Jana Ndugu yangu ninayeishi naye amepokea simu ya KUITWA KAZINI TPDC. Na ametakiwa kuripoti kuanzia leo na mwisho ni tarehe 15/09/2014, ni kwa wale waliofanya usahili mwezi wa tano. Hivyo...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Wadau habari zenu? Kutokana na maisha kuwafanya baadhi ya watu kuwa bize mpaka kushindwa kufanya kazi nyingine,hivyo napenda kuwajulisha kuwa nina marafiki zangu wawili ambao ni kati ya miaka...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom