Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari wanajamii natafuta nafasi ya kufundisha mathematics, geog or acounts kwan nimemaliza degree ya uhasibu asanteni anaeweza nisaidia ani PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya majukumu,na hongereni kwa kazi ya ujenzi wa Taifa,mimi ni kijana wa miaka 31,ninatafuta kazi udereva,katika kampuni,taasisi,shirika na hata kwa mtu binafsi,nina driving licence class...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
I urgently need research assistants based in UNGUJA. uwe based Unguja. responsibilities include conducting interviews using questionnaire. conduct indepth interview. conduct focus group...
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Ndugu zangu natafuta shule au tasisi yoyote ya ELIMU yenye uhitaji wa mwalimu wa Eco & Com....nina uzoefu wa kutosha kwani nimefundisha shule ya serikali kwa zaidi ya Mwaka mmoja kama mwajiliwa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Greetings Mara nyingi nimeona watu wengi wakihudhuria interview zaid ya kumi na hawapati kazi na wakati huo kuna wengine wanahudhuria interview moja tu na wanapata kazi. nikawa najiuliza maswali...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
habari wanajf mimi ni muhitimu wa chuo kikuu natafuta tempo ya kufundisha shule iliyopo hapa dar.Nafundisha history na civics/general studies.
0 Reactions
1 Replies
774 Views
Wakuu poleni kwa majukumu mazito ya kuikwamua nchi yetu. Wakubwa naomba msaada wenu. Nimeitwa kwenye interview ya kazi kwenye kampuni moja ya usafirishaji. Tatizo langu ni kuwa, mara ya mwisho...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam wadau. Kwa wale wanaojua naomba tufahamishane njia sahihi ya kutuma application tume ya ajira. Kuna njia ya posta ya kawaida na ile ya EMS. Lakin inasemekana ya EMS haikubaliki...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
LIBRARY ASSISTANT I - 8 POSTS Qualifications: Holder of a Diploma in Library and Information studies from any recognized institution Apply: The Deputy Vice Chancellor (Administration & Finance...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
1.0: AGRICULTURAL SEED AGENCY (ASA) Agricultural Seed Agency (ASA) is a semi autonomous body within the Ministry of Agriculture Food Security and Cooperatives established under the Executive...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
wanajamii forum kwa mtu anayefahamu mshara(gross salary) wa banking officer exim bank ni shilingi ngapi kwa mtu anayeanza kazi mara ya kwanza naomba anijuze
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Wadau Baker Hughes wanalia bei gani kwa Engineers pls wadau nakutana nao ijumaa hii nataka jua malipo wakiniuliza nataka bei gan kwa mtu anaejua au anafununu naomba mawazo yenu na asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mfamasia 'Pharmacist' anahitajika. Pharmacy ipo Boko, Dar es Salaam..Vigezo - (Awe na cheti, Awe mchapa kazi): Tuwasiliane kwa no 0716000222..
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Boss yeyote tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu. Nina uzoefu wa kazi karibu miaka 10 na nimefanya ktk stationary&NGO. Mshahara usiwe chini ya 400,000~350,00 hapo ukiwa ushatolewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nimetumiwa msg hii. You are invited for the interview to st.joseph university on 5th september 2014 at mwenge near mlimani city. Then wakaweka namba za simu ila tatzo hawajasema mwenge...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kweli graduates tumekuwa wengi mtaani. Inashangaza watu kujiita 'an equal opportunity employer' na wakati kwenye matangazo yao ya kazi wanakwambia umbatanishe na picha ya passport! Kazi hizi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisubiri zile post 101 za Maafisa Utumishi daraja la II kuitwa kwaajili ya usaili lakini hadi leo patupu.....inakuwaje maana deadline ilikuwa tar 11 June, au ndio Serikali haina hela...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari zenu wanamaendeleo? Natafuta tenda ya kusambaza kuku wa kienyeji waliokwisha chinjwa na kupakiwa vizuri kwenye pakiti za plastic katika mahoteli na supermarket. kuku wanauzito wa kg 1.5 na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sifa:- - Mwanamke - Miaka 21 na kuendelea - WPM 60 na kuendelea - Mkazi wa Dar es Salaam. PM kwa wenye kuhitaji.
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Nimeajiliwa kwenye kampun ya simu sasa nimemaliza miezi minne baada ya kuajiliwa bado miez miwili kumaliza probation sasa nauliza ukimaliza probation kwenye makampun hela wanakuongezea au laah
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom