Wakuu habari?
Naomba kuulizia nawezaje kupata kibali cha kuweza kuomba tena kazi serikalini kwakuwa niliacha kazi kutokana na matatizo je naweza kupata wapi kibali?
Kila halmashauri niombayo kazi...
Habari zenu wanajamii forum, wakubwa shikamoni
Kwa jina naitwa michael, ninamiaka 24 nimkazi wa Dodoma mjini mtaa wa area c. Nimemaliza chuo kikuu mzumbe mwaka huu 2025, ujuzi nilionao ni...
NAFASI YA KAZI
Anatafutwa Kijana wa Kiume wa kuuza duka -Hardware (tarehe ya mwisho 15/7/2025).
SIFA
🔹Awe amemaliza Kidato cha 4
🔹ANAEJUA HESABU
🔹Umri miaka 20 au zaidi
🔹ANAEISHI MADALE...
Hivi izo asilimia za nyongeza zinaongezwa mwezi gani woooooiiiiii tupate Hela kidogo ya makangi
Ni formula ipi wanatumia kuongeza izo asilimia ili nijue kabisa namna ya kubadili kiwanja Cha bata
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums.
Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira.
Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree...
Wakuu...
Napenda kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva katika kampuni, taasisi au Shule. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (07) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na...
Habari wakuu .
Mimi ni Mwalimu ambaye nafundisha kuanzia Kindergarten mpaka form six .
Kama upo na Shule ambayo unahitaji kuikuza kupitia Mwalimu competent .
Uwezo wangu upo katika haya maeneo...
Wakuu Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kufundisha Kiswahili na kiingereza.
Natafuta Shule ya kufundisha kwa maeneo ya Zanzibar Unguja au Pemba.
Kwa upande wa primary naweza kufundisha vilevile...
Wasalaam Wakuu anatakiwa msimamizi wa mitandao ya kijamii
awe na sifa zifuatazo ili aweze kufanya kazi kwa ufanisi:
1. Awe ni Mkazi wa jiji la Dar es Salaam, itafaa zaidi akiwa ni Mwanaume (umri...
Tunaomba wahusika watoke hadharani wawaeleze Hawa vijana walioajiriwa kwenye hizi halmashauri iwapo fedha zao za kujikimu zilitengewa bajeti kabla ya kuajiriwa au inakuaje??
Maana vijana wengi...
Haki na Wajibu wa Mtumishi wa Umma. Mtumishi wa Umma una wajibu wa kutumia elimu, ujuzi na bidii katika kutoa huduma bora kwa wananchi. Kadhalika una haki na stahiki mbalimbali unazopaswa kuzipata...
Kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nianze kufanya kazi ya kusafisha na kuzibua mitaro sehemu mbalmbali za jiji la Dar es salaam.
haszu
Confession
@cutewife
Nawengine ambao mnaweza...
Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager), Nina uzoefu wa kutosha, elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering).
Pia najua website hosting na management...