Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Yupo Dar, yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyte ndani ya Dar au Kibaha., Pwani. Mawasiliano;
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Follow..Mimi Jay Blog
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu hivi wilaya ya nyamagana mwanza ni lini wanatoa majina ya wasimamizi wa vituo vya kupiga kura?taarifa kwa anaefahamu tafadhali
0 Reactions
6 Replies
3K Views
hizi tgs au ngazi za mishahara ndo sh. ngapi ngapi?
0 Reactions
16 Replies
21K Views
Wanahitajika watu kujaza nafasi za kazi. TANGAZO KAMILI NI HILI LIFUATALO: Applications are invited to fill in the following vacant posts in our organisation: 1. Shop Supervisor - 1 post 2...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini humu ndani Ningependa kufungua duka la kuuza dawa siku zijazo ila sijajua ni mtaji kiasi gani ninahitaji kuweza kufanikisha hili? Naombeni mawazo yenu tafadhali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tra
hivi hawa TANZANIA REVENUE AUTHORITY NDIO NINI SASA WAMETANGAZA NAFASI ZAO MPK DEADLINE IMEFIKA MUWEBSITE WAO HAUFUNGUKI....................SASA KAM WALIKUA WANAJUA WASHAPATA WATU WAO SIJUI...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Namtafuta mwalimu wa kubadilishana kituo mimi niko mara serengete sec, nataka kubadilishana kituo na mwalimu anayetaka kuhama kutoka katika mikoa ya pwani na daresalaam, asante naomba kuwasilisha
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natafuta mtu mwenye toyota ipsum kwajili ya kukodisha kuanzia wiki mpaka mwezi. Bei maelewano.
0 Reactions
0 Replies
696 Views
napatikana Moshi ila nafanya kazi sehemu yoyote Tanzania. nina uzoefu na Elimu ya kutosha kufanya kazi bila kubabaika. Mungu awabariki ahsanteni.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF,kuna ambaye anafahamu petrol cleaner inaitwa ABRI?
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Natafuta kazi ya kufundisha somo la Basic Mathematics. Nipo Dar es salaam Nimemaliza Bachelor ya IT mwaka 2012. Nilisoma EGM kidato cha tano na sita. Na nimewahi kufundisha
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Elimu inaelekea wapi? Ni wakati wa kufanya maamzi magumu sasa! BIG RESULT NOW mashuleni wekeni degree zilizo mtaani na wale walimu walioishia kidato cha nne na kufeli wakakimbilia grade A wapewe...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Wapendwa natafuta kazi kama Community Development Officer, au Social Worker kanda ya kati na kanda ya ziwa. Mimi ni mchapakazi mzuri, najitambua na nipo tayari kufanya kazi. Nina miaka 31 alie na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DAMAX Creative CV development service.. In today's job market, standing out from the crowd is essential. Your CV is your opportunity to show your future employers that you are the best...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Wakuu, baada ya kampuni inayojiita Viettel Tanzania kutangaza kazi nyingi na watu kuzipaparikia knimekuja na observation zifuatazo naona hii ni kwa faida ya wanaotafuta kazi...As a man I stand to...
5 Reactions
93 Replies
25K Views
habari zenu waungwana,leo nilibahatika kufika katika kata yangu ya ilala mchikichini na kuambia yakuwa majina yanategemewa kutoka siku ya Alhamisi kuanzia saa nane mchana......
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau.. Mimi ni kijana wa elimu, nina degree moja katika field ya logistics and transport. Nimetafuta sana ajira bila mafanikio mpaka sasa waajiri wengine wanataka kuniingiza mjini kwa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
jamani hivi huyu Anthony msigwa ni nani? maana niliomba kazi ya widow and orphan advocacy nimetumiwa mail Leo nimepewa maelekezo mengi lakini pia nimeambiwa nitume pesa elfu hamsini na moja na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Vp jaman washatoa majina ya usimamizi wa vituo uchaguzi kinondoni??
0 Reactions
63 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…