Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari Wakuu Bila kuwapotezea Muda, mimi ni kijana wa kitanzania mwenye shahada moja. Nisiingie sana kwenye professional yangu,ila kwa yeyote mwenye uhitaji na mfanyakazi katika kitengo chochote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kwa wote mliochaguliwa kwenye usaili ngazi ya mkoa tupeane ujuzi hapa
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu wanajamvi . Kiukweli nilijiunga na jamii forum muda mrefu sana ila sikuwahi kuanzisha uzi wala kucomment hata mara moja. Hii inatokana na kupata majibu ya kila changamoto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habarini za majukumu. Kama Maada inavyojieleza hapo juu,kwa waliowahi kuhudhuria usaili wa kilimo iwe kwa kuandika au kwa mahojiano ningeomba atupe japo mwanga kidogo huku,nisiwachoshe sana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Anahitajika fundi umeme wa viwanda aliepo maeneo Zanzibar Fuwoni au maeneo ya karibu na hapo.
0 Reactions
3 Replies
563 Views
The Legal Services Facility (LSF) a registered non-government Organization (NGO) with Registration No. 00NGO/R2/00011. It is a basket fund created to channel funding on equal opportunity basis to...
1 Reactions
3 Replies
706 Views
Naombeni usuri jamani, mimi ni mtumishi nataka kuhama niliko, nitumie njia gani.
0 Reactions
3 Replies
725 Views
Mimi ni dereva mwenye leseni class c natafuta boss aniajir tufanye kazi ya uber kwa mawasiliano 0715841834
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwema wakuu? Najua mafundi wa rangi siku hizi tupo wengi ila wenye kazi nzuri tupo wachache.mafundi wengi wanaharibu kazi kwa kulipua ilimradi wapate pesa wasepe. Wengi hawafikirii kujenga jina...
0 Reactions
3 Replies
690 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta kazi iwe kwenye taaluma yangu au nje ya taaluma yangu nimehitimu diploma ya uhasibu na nina uzoefu kama cashier kwa miaka mitatu na kuuza duka...
3 Reactions
3 Replies
481 Views
Habari wakuu, Kama unajua au una ndugu/ rafiki anaweza kuigiza sauti ya Magufuli kwa kiwango cha juu kabisa tuwasiliane. Kazi ya mtu huyo itakuwa ni kuongea kama dakika mbili tu kwenye harusi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Za leo wakuu, Nimefungua biashara ya chipsi maeneo ya UDOM( Dodoma),nimenunua kila kitu pamoja na kulipa gharama ya frame miezi mi4,,,Sasa tatizo linakuja sina hela ya viazi na mafuta,,Kwahiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina shahada ya biashara upande wa masoko(B.Com Marketing) ninatafuta kazi ya kuuza au kutafuta masoko(sales/marketing).Kwa ambaye anayeweza kunisaidia aje pm tuyajenge. Nipo Mwanza Ila naweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nisaidie kuisambaza hii, tafadhali Tangazo la kubadilishana kituo cha kazi mimi Yusuph Peterson Kisunzu mtumishi wa halmashauri ya wilaya ya Sikonge kwa kada ya tabibu msaidizi II ninatafuta mtu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP. Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote. License Class A, A2...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman wadau kuna binti ana uzoefu wa kazi za saloon ya kike anatafuta ajira yupo mbeya mjini......kama kuna mtu ana muhitaji ani pm
0 Reactions
3 Replies
844 Views
emu tusaidiane apo nataka kuapply iyo tender apo.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
anatafuta kazi yoyote ile ambayo ni halali kumuingizia kipato,, hachagui hasa kazi za nyumbani,, umri wake miaka 22,, kama upo tayar njoo pm
0 Reactions
3 Replies
820 Views
Back
Top Bottom