Za leo wakuu, Nimefungua biashara ya chipsi maeneo ya UDOM( Dodoma),nimenunua kila kitu pamoja na kulipa gharama ya frame miezi mi4,,,Sasa tatizo linakuja sina hela ya viazi na mafuta,,Kwahiyo nataka kijana mwenye hela ya viazi(40000) na mafuta(18000) na vitu vidogodogo (20000) na mimi nitampa mbuzi kwaajili ya biashara,kwa sharti anipe 10000 kwa kila siku
Kwa ambaye yupo tayari anitafute through this no 0759505882
Kwa ambaye yupo tayari anitafute through this no 0759505882