Natafuta kazi ya kuuza au kutafuta Masoko

Rubo

Senior Member
Jan 21, 2015
139
225
Nina shahada ya biashara upande wa masoko(B.Com Marketing) ninatafuta kazi ya kuuza au kutafuta masoko(sales/marketing).Kwa ambaye anayeweza kunisaidia aje pm tuyajenge. Nipo Mwanza Ila naweza kufanya kazi sehemu yoyote.Natanguliza sukrani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom