Habari wa ndugu ....
Iko hivi ...
Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua.
Nikaondoka bila ruhusa yake.
Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop...
Nimekuwa mtumishi wa Serikali katika Idara ya Afya kwa zaidi ya miaka minne.
Sina imani kubwa na vyama vya wafanyakazi kutokana na uzoefu wangu wa kuona watumishi wengi wakikumbana na changamoto...
Kwa heshima, tunaomba Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) lizingatie kufanya mtihani wa Pre-Internship kwa batch ya pili mwezi Desemba 2026 au Januari 2027, badala ya kusubiri hadi Aprili 2027...
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA MAOMBI YA AJIRA TAKUKURU
Ndugu zangu,
Mimi ni mmoja wa waombaji wa nafasi za ajira zilizotangazwa na TAKUKURU mwaka huu. Baada ya kutuma maombi, baadhi yetu...
Kwenye tangazo la ajira za utumishi wameweka kigezo cha ATLEAST level 2 Vocation Training.
Ukiweka cheti cha level 3 Vocational training wanakusoma upo over qualified wakati tangazo la msingi...
Ningependa kuwasilisha ushauri kuhusu changamoto zinazowakabili vijana na wafanyakazi wengine katika sekta binafsi, hususan masuala ya mikataba ya ajira, mishahara na mazingira ya kazi...
Suala la Kanzidata kwenye mfumo wa ajira Tanzania ni mtambuka. Serikali inapaswa kueleza uhaba wa nafasi kwenye taasisi za umma unatokana na nini, ilhali zinatoa nafasi za ajira za mkataba kwa...
Sisi Askari Wastaafu tunaeleza haya kwa uchungu mkubwa sana, hivi karibuni kuna Viongozi walisema sisi tunaolalamika kwamba tulishindwa "kujiandaa" kabla ya kustaafu!
Wanasema eti tulipostaafu...
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026
Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la watumishi wengi wa kada ya afya, hususan katika kada za Clinical Officers (C.O), Nursing na kada nyingine za afya, kuamua kubadili taaluma zao na kusomea fani tofauti...
Ninaandika makala hii si kwa sababu nimekosa kazi, wala si kwa sababu nina malalamiko binafsi dhidi ya Benjamin Mkapa Hospital (BMH). Ninaandika kwa sababu nilishiriki katika mchakato wa ajira wa...
Niliposikia uamuzi na msimamo wa baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuhusu wageni, wakiwemo Watanzania na raia wengine wa nchi za Afrika, binafsi niliuelewa kwa mtazamo wa mstakabali wa maisha yao...
Nina kero kuhusu mchakato wa ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira, nilifanya usaili wa mahojiano kwenye Kada ya Ualimu mwaka 2025 na 2026, nilifaulu, baada ya kufika ofisini kwao na kujiridhisha...
Nahoji, kuchelewa kwa mchakato wa usaili wa nafasi za ajira za Utumishi wa Umma husababishwa na nini hasa?
Inawezekana mtu akatuma maombi ya kazi leo, tarehe 27/07/2026, lakini majibu ya kuitwa...
Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi...
Nimeona Wizara ya Afya imeanzisha programu za Higher Diploma (NTA Level 7) katika maeneo ya Anaesthesia kupitia MWACHAS, na Midwifery kupitia MUHAS. Hili ni jambo zuri na hatua kubwa katika...
Ndugu Wahusika,
Napenda kuwasilisha changamoto ambayo watumishi wengi wa umma wanakumbana nayo wakati wa kutumia mfumo wa e-Uhamisho katika kuwasilisha maombi ya uhamisho kati ya taasisi...
Nimekuwa nikichangia fedha kwenye mfuko wa NSSF kwa zaidi ya miezi 88.
Baada ya kuwasilisha madai ya kupata special lumpsum baada ya mkataba wa kazi kumalizika, nilipewa jumla ya kiasi kilekile...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Shahada ya Udaktari wa Mifugo ambao tunatarajia kufanya internship ya mwaka mmoja kabla ya kupata usajili wa kufanya kazi kama madaktari wa mifugo.
Leo tumekutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.