Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna wale mliojiingiza kwenye mahusiano na wasanii msitalajie kufika mbali na mkifika mbali talajieni vibweka vya baba ubaya. Maisha ya wasanii ni kama bado wajatulia kwenye mahusiano. Tatizo...
1 Reactions
4 Replies
728 Views
Based on true events. Ni jamaa ambaye tulikutana katika harakati za maisha ni mtu ambaye tumesaidiana katika nyakati ngumu ni kama brother from another mother.. anaitwa Juma sio jina lake halisi...
4 Reactions
5 Replies
751 Views
Kuna muda mtu ni jasiri,Lakini Kuna muda ukiaangalia mazingira ujasiri unakata halafu woga unayavaa maisha ya mtu tena. Kuna nyakati kuziendea, kuzikabili na kuishi nazo ni ngumu. Mungu...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m. Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari wana Jf Kwenye haya maisha watu wengi wanateseka sana kwa sababu kuna vitu vitatu ambavo hawavijui trust me hii hakuna mtu atakaye kuambia siri ambayo matajiri wengi ndo wanayoitumia...
2 Reactions
10 Replies
934 Views
Kivyovyote vile kwenye kila jambo ambalo unalifanya kumbuka huwezi kuwa bora zaidi ya wengine, ila unaweza kuwa na nidhamu zaidi ya wengine wote kwenye kila jambo fulani unalolifanya. Kila kitu...
2 Reactions
4 Replies
838 Views
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Salamu Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98 Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha...
23 Reactions
135 Replies
7K Views
Mara ya kwanza Nilipokiona kitabu hiki na kusoma Tittle yake, nilianza kutegeneza mawazo yangu kichwani na ku JUDGE A BOOK BY ITS COVER. Jamaa mmoja alituma PDF ya kitabu hiki kwenye group la...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Unaweza mtu ukawa unaishi maisha ya kidhalili kabisa yasiyo na mbele wala nyuma hali ya kuwa ndugu yako ana mafanikio ya kimaisha. Inauma sana kuona mtu unaishi maisha ya dhiki hali ya kuwa kuna...
25 Reactions
118 Replies
15K Views
Ukiona mtu anapinga mahusiano, jiulize mara mbili mbili ana tatizo gani? Kwa sababu haya mambo yanaongozwa na hisia; hata wewe unapopata hisia na mtu fulani lazima umfungukie, huo ndio uhalisia...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA. Majibu yakatoka watoto wote si wake. Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu. Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
To be honest, mimi kumuhudumia mwanamke ambaye ni mwenza tu siwezi kabisa. Eti mwanamke ananiambia usisubiri nikuombe uwe unajiongeza, nikamuuliza hivi mimi kukuhudumia ni wajibu, akasema wajibu...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Hello Twende kiwikiendiii... Mapenzi yalikufanyia nini hadi ukayaona hayana maana? Nilianzisha saving acc. na mwanamke ilipofika 5M hata sijui alienda wapi yule mwanamke! Kinachoniuma zaidi...
54 Reactions
149 Replies
13K Views
Salamu jamii, Tunazaliwa tunakutana na taratibu za jamii na za mungu. Pamoja na vijembe vya wanaume desperate na wenye chuki za kitoto na za kimaskini. Nawaambia kweli iliyo kweli, ukipata...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari za Majukumu wanajukwaa..... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa. Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na...
25 Reactions
129 Replies
54K Views
Habar za asubuhi wana J/Forums. Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada...
34 Reactions
269 Replies
22K Views
Kwa mnaoishi Wilaya ya Same mjini maeneo Gani ya kujidai nna ziara ya week 2 hapo nipate ata mwenyeji wakunifariji wa kike tupeane connection.
0 Reactions
4 Replies
743 Views
Kwema Humu? Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito. Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada...
25 Reactions
206 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…