Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara zote huwa kunakua na furaha mioyo mwa divorcee women pale mwanamke mwenzao anapoachika kwenye ndoa yake. Wahenga walisema "msiba wa wengi ni sherehe" . Hii ndio sababu divorcee women huwa...
69 Reactions
303 Replies
6K Views
Nakubaliana nae 100% kwakuwa nakumbuka World Cup ya mwaka 2010 South Africa kuna Kahaba mmoja maarufu (kutokea Spain) alijitokeza hadharani na kusema kuwa kafanya Ukahaba na kila aina ya Wanaume...
1 Reactions
11 Replies
247 Views
Katika harakati zangu za kufinyanga na kuzifyarangua papuchi za sampuli mbalimbali nikajikuta nimeangukia kwa Joyce (sio jina lake) toto la kikurya jeupe limeenda hewani, lakini ana muonekano na...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Kwa lugha nyingine muende mkawatoe.
2 Reactions
0 Replies
90 Views
Wanawake wengi hasa kuanzia miaka 25 ambao tayari wana watoto au ndoa huwa na matatizo mengi kama madeni, mambo ya kuhisi wamerogwa, kuhisi wametengwa, kuhisi mme wake anachepuka, watoto, n.k. Na...
12 Reactions
22 Replies
941 Views
Habarini wana JF, Hivi watu mlioko kwenye mahusiano ikitokea kakusaliti utamsamehe au utafanyaje? Na Je kuna watu ambao washawahi salitiwa na wakasamehe especially kama walikuwa wanawapenda sana...
4 Reactions
191 Replies
26K Views
Kwa nini mmoja wao huchukua tabia za jinsia nyingine ambayo havutiwi nayo? Kama kweli wanawake wanaovutiwa kimapenzi na wanawake wenzao, wanavutiwa ki ukweli na wanawake, Kwa nini sasa inaonekana...
31 Reactions
353 Replies
5K Views
Swali linajieleza. Naomba majibu kutoka kwa watu wa jamii na dini zinazoruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja? Nawasilisha.
12 Reactions
90 Replies
2K Views
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi. Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo...
36 Reactions
233 Replies
14K Views
Mwanaume usikubali kutoa mahari kwenye kuoa , ndoa sio biashara inafaida pande zote tena mwanamke anafaidika zaidi kuliko mwanaume . Shtuka kutoa mahari ni utapeli
8 Reactions
52 Replies
641 Views
Kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi mara nyingi kuna gharama yake. Kuingia kwenye uhusiano mpya wa kimapenzi huja na gharama ya kijamii ambayo mara nyingi haionekani moja kwa moja. Kulingana na...
5 Reactions
30 Replies
604 Views
sjui ni nature au nini ila mostly wana Gubu, hasira , mlio wahi kudate au kuoa wanawake slim nadhani mnatambua vyema.
17 Reactions
130 Replies
2K Views
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza hizi nguo huwa Zina valiwaje? Yani inakuwaje. Ukweli ni kwamba, hizi Zina itwa G string au thog, kikubwa zaidi ni kwamba Zina faida kuu mbili ambazo zitakushangaza...
3 Reactions
15 Replies
347 Views
Wakubwa shikamoon Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo...
47 Reactions
171 Replies
3K Views
=ZINAA ZEMBE INAUA =MKE WA MTU SUMU =MAPENZI NA DENTI MIAKA 30 Mbebe mrembo wako huku ukiwa una mbusu busu then umlaze kwenye sofa, mvute kiuno chake kisogee kivuke kidogo ile edge ya sofa ule...
17 Reactions
126 Replies
3K Views
Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako. Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una...
50 Reactions
271 Replies
9K Views
1. Vijana hawana aibu tena ya kufanya uasherati hadharan (sehemu za starehe-Kitambaa cheupe Sinza) 2. Makahaba hadi mtaani na mitandaoni (Ubungo Riverside, GRINDR, Badoo na Tinder). 3. Madanguro...
11 Reactions
65 Replies
4K Views
Ni vizuri umuandae mwenzako vyema ndiyo muenjoy. Kama denda la kishua,kupapasa,na kupeana vya moto. Au mnasemaji wadau changieni mada?
7 Reactions
21 Replies
376 Views
Sio kwa ubaya Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi?
8 Reactions
83 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…