Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Maneno ya wazazi kwa watoto yana nguvu sana katika kuwawezesha watoto kufikia malengo yao katika maisha; vilevile yana mchango mkubwa sana kudidimiza vipaji vya watoto. Maneno yanajenga taswira...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu leo nimejikuta matembezi yangu yanakomea hapa ambapo nimevutiwa na huu mjadala ambao kiuhalisia uenda una tafsiri kubwa na maana zaidi ya moja katika kuijenga jamii. Mjadala...
1 Reactions
1 Replies
540 Views
WATENGE MARAFIKI KATIKA MAKUNDI Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Kutokana na utafiti nilioufanya katika miaka yangu 32 niliyoishi duniani, nimejifunza kuweka marafiki katika makundi mane (...
3 Reactions
1 Replies
636 Views
Sina Imani Sana, mke niliemuoa, Na kila jambo ninalofanya nafanya kwa Kiasi. More Expection, inaweza nifikisha pabaya, kweli nampenda mke wangu Ila nimejipa kiasi ili lolote likitokea niwe...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwenye maisha kumbuka jambo moja, wenzako wanapoleta mezani chakula halafu wewe huleti, inawezekana wewe ukawa ndiyo chakula chenyewe. Unaelewa hilo? Duniani hakuna kitu cha bure zaidi ya salamu...
133 Reactions
905 Replies
44K Views
ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!! Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa. Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi...
14 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanawake ni viumbe ambavyo kisaikolojia ni tegemezi,,, kwa hiyo wameumbwa kumtegemea mwanaume katika nyanja mbali mbali na si lazima liwe swala la kiuchumi. Si ajabu kabisa mwanamke akawa na...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Hekima 1 Unaweza kuwa kiongozi mzuri bila kuanika madhaifu ya mtangulizi wako Rekebisha kwa kadri unavyoweza matendo yatasema yenyewe. Hekima 2 Unaweza kueneza Imani yako bila kuisema vibaya...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa kifupi nina uzoefu wa kiasi fulani kuwa na urafiki wa kimapenzi au urafiki wa kawaida na wanawake waliozidi miaka 30.. Kuna vitu vingi sana najifunza kutoka kwao.. Wengi wao wanafika umri...
31 Reactions
175 Replies
24K Views
Uzi huu nime uandika ili uwe Kama kengele ya ukumbusho, kwa kila mmoja wetu. 👉 Maana kumezuka na Mambo ambayo yame kuwa Kama kikwazo, kwa baadhi ya watu katika safari ya maisha yao. WIVU, kila...
112 Reactions
1K Replies
36K Views
Late Night questions yow! Wiki hii nimeshinda sana Sinza, yani nahisi wiki ijayo ntakuwepo pia maana sinza nako kuna ubuyu hatar Sa nikawa nakula bar, pembeni yangu wakawa wamekaa wanaume 6...
6 Reactions
268 Replies
56K Views
Kama mzazi mwenye watoto wanne(4) kiukweli kati ya hawa yupo kipenzi zaidi ya wote ninayempenda mno iwe kwa kudhihirisha ama kwa kutodhirisha. Ni kweli upendo ama mapenz hayagawanyiki lazima...
1 Reactions
0 Replies
335 Views
Yapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu Kuna muda wazo la kumcheki linanijia lakini najikaza kisabuni kwa kuogopa ataniona niko so weak kwake. Ooh my God why this happen to...
21 Reactions
143 Replies
7K Views
Naombeni ushauri mama yangu kanipigia simu ana sema mwaka huu nikienda Kigoma bila binti wa wawatu nitakuta ameniandalia binti huko wakuja nae mjini. Swali: hivi ukichaguliwa mwanamke na wazazi...
3 Reactions
3 Replies
391 Views
Jana tuliona tabia zinazomfanya asiwe na hisia nawe. Leo tuangalie tabia zenye matokeo mazuri. Ukifanya haya ni rahisi kudumisha upendo katika mahusiano. Kuna maana nyingi za upendo kwenye...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu... Kiukweli sisi wanaume tunakutana na mambo ya ajabu sana kwa wanawake. Huyu mwanamke alinidanganya yeye ni bikra kabisa cha kushangaza alipo kuja geto siku moja...
11 Reactions
77 Replies
4K Views
Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu. Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Honestly mpaka sasa sijawahi kujua sababu hasa ya wao kunichukia. Siwezi sema walinikataa, bali walinichukuia. Zilianza kama tetesi kutoka kwa beki tatu wenu aliponiambia kuwa kwenu huwa...
70 Reactions
200 Replies
18K Views
Unaambiwa tembea uone. Wanawake wa Kigoma ni wapambanaji kupita maelezo, hujishughulisha na biashara za hapa na pale ilimradi kupata ahueni ya maisha, ukitelekeza familia ya hata watoto kumi ambao...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…