Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda...
12 Reactions
104 Replies
8K Views
Wivu kwa maana rahisi ni kutojiamini muda wote unahisi kuna watu wenye sifa zaidi yako watakuibia mpenzi wako, Wivu hukoleza mapenzi. Kutojiamini ni wivu uliopitiliza kiasi yaani muda wote...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki. Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa". Swali...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Mtaani kuna mambo yanafurahisha sana mimi napenda kula hasa asubuhi nile supu juice ya passion ama parachich na Mihogo ama Maharage na mayai pia napenda kushabikia yanga team napenda kucheza mziki...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Shalom, Nitoe taarifa na niombe ushirikiano kwa wale ambae tunapenda hao viumbe wa size hizo taarifa fupi ya uzoefu ni kwamba ni watamu sana na wanajua kuisikilizia vizuri na ukiwa fundi wa...
13 Reactions
71 Replies
7K Views
Huyu ni msichana ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili Pamoja na changamoto za hapa na pale za kimahusiano lakini tulijitahidi kuwa pamoja kwa kipindi chote hicho. Kuna...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Shalom, Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa? Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero...
9 Reactions
66 Replies
3K Views
Iko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi...
16 Reactions
91 Replies
4K Views
Habari, Wakati unaanza kupiga punyeto unaona nikitendo kizuri na cha furaha sana kisicho na garama kabisa ila baada tu ya kumaliza kupiga punyeto na kumwaga wazungu gafla unajikuta moyo unaanza...
10 Reactions
61 Replies
6K Views
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
10 Reactions
84 Replies
5K Views
Labda iwe kwa makubaliano kuwa mnafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike. Kama biashara ya mwili wake ni heri aseme kabisa kuwa yeye ni kahaba...
15 Reactions
120 Replies
6K Views
Habarini !! Tayari nilifanikiwa kupata mke miaka miwili sasa na mtoto juu, ila Mke na Mama yangu hawaelewani kila cku maneno mke hamsikilizi mama kwa chochote ukifka kwa mama naye malalamiko...
2 Reactions
90 Replies
9K Views
Akitokea malaika mmoja ambae pia ni mbwa mwitu mwenye vazi la kondoo akianzisha pambio basi hata mqshetani mwenye huimba na kucheza Nachomaanisha ni hiki akitokea mwana JF kusema nina gari basi...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna baadhi yetu hatujui ni wakati gani na mazingira gani tutumie loud speaker katika rununu zetu, kwakuwa ipo hiyo option basi wewe unatumia tu. Kuwa muangalifu sana unapotumia loud speaker...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Zamani niliwahi kusikia kwamba watu huangalia video za ngono kwa ajili ya kujifunza style mbalimbali za kufanya tendo la ngono. Leo hii watu wengi wamekuwa waraibu wakubwa wa video hizo kiasi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni kijana Ambae nimezaliwa mwanzoni mwa mwaka 1990. Hapa hapa kwenye jiji la MAKONDA. Japo Baba na Mama yangu Kila mmoja ni mwenyeji wa mkoa wake. Mama yangu alibahatika kusoma Hadi darasa...
17 Reactions
204 Replies
10K Views
Baba nae Anasema mwanangu oa mwanamke ambaye ni msomi hii ni kwa sababu wewe pia ni msomi, mwanangu angalia boma la kuoa sio maboma yote ya kuoa. Sikushauri ni kabila gani la kuoa ingawa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mtu anakwambia hamna neno kitanda hakizai haram lea tu huyo mtoto hata kama sio wako, you guys hii si sawa, yaani una mumeo umemsaliti ukambebea mimba ya nje bado ukambambikia na mtoto juu halaf...
17 Reactions
52 Replies
2K Views
Proverbs 12:4 [4]A virtuous woman is a crown to her husband: but she that maketh ashamed is as rottenness in his bones. Mwanamke mwema ni taji ya mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake.
1 Reactions
3 Replies
533 Views
Kwa wale wenye exp UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana. KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospitalini hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana...
10 Reactions
88 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…