Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita. Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini...
7 Reactions
124 Replies
17K Views
Natafuta rafiki wa kawaida wa kiume awe na umri wa miaka kuanzia 40-70, awe mstaarabu, mkweli, muwazi na mpenda maendeleo. Kama uko tayari ni pm please [emoji21]
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Sijui ni shida au hali ya kawaida; 1. Sipendi kabisa sherehe zinazonihusu, ila za wenzangu nachangia ila nadra sana kuhudhuria eg, gratuations, harusi, etc,kifupi sipendi attention. 2. Sipendi...
3 Reactions
21 Replies
791 Views
Kwakweli hii kitu imekuwa kawaida kabisa kwa sasa. Wadada wetu tena wengine kwa kupenda wenyewe kabisa wanaruhusu kufanyiwa mchezo huu. Najiuliza tatizo ni nini hasa? Ni mfumo wa maisha...
12 Reactions
302 Replies
54K Views
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
26 Reactions
169 Replies
7K Views
Iko sawa kweli mwanaume kumtumia mwanaume mwenzio emoji za kufall Love kama si unaniliu huu?
1 Reactions
104 Replies
8K Views
Habari zenu wanawake wenzangu wa MMU. Karibuni tujadili changamoto zinazotupata kipindi ambacho wapenzi wetu wawapo mbali, kikazi au kwa shughuli yoyote ile inayowafanya msionane kwa mda mrefu...
18 Reactions
212 Replies
39K Views
Natanguliza salamu, Kumekua na mitazamo tofauti tofauti katika suala la mwanaume kuoa. Nimeleta kwenu nikiwa nataka kujua upi ni mtazamo sahihi na unaoendana na dunia ilivyo kwa sasa.. Nawasilisha.
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Hey guys hope mko poaaa Huyu mwanaume ambaye nipo nae kwenye mahusiano amenufukuzia almost miezi 3 muda huo namchunguza tabia zake. Kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile...
22 Reactions
85 Replies
4K Views
Hakuna muda wa kuremba maneno Mwanamke yuko tayari kuishi na mwanaume hata asiyempenda ili tu atimize hitaji lake. Ukikamuliwa sana pesa hupendwi. Jamaa mmoja alikuwa kila akipata shekeli...
2 Reactions
11 Replies
765 Views
Kama wewe sio mtu wa pande hizo, acha kabisa mawazo ya kuoa huko: Kwa kina Mura - Wakurya na wenzao Wajaluo (huko kuna ubabe, vurugu, na utemi mwingi kwa pande zote, wanaume na wanawake, ndiyo...
12 Reactions
113 Replies
3K Views
Hello, Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza...
49 Reactions
133 Replies
6K Views
Ndoa ni tamu,ndoa ni paradiso,ndoa ni utajiri,wanaosema ndoa ni ujambazi hawajui codes za ndoa. Baba yangu alipenda kuniambia "ignorance is the biggest enemy in your life" mchawi wa mafanikio...
29 Reactions
110 Replies
8K Views
Huwa nawaza mpaka sasa hili jambo Adam alikuwa na Eva wakatupa Kaini na Abeli Sasa nawaza Kaini alimwoa nani?
2 Reactions
10 Replies
469 Views
Kuna maisha unapitia unaona shetan mbona akuachi hasa ukiangaalia mapambano magumh ya maisha Miezi kadhaa niliwahi lala mwenyewe kama miezi 4 mke alilala na watoto akahamia kwa chumba cha wageni...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Au ni kwa vile hakupendi ndio sasa anakuwa tapeli? Unamjuaje tapeli kwa mfano, ili kuepuka utapeli kwenye mapenzi ya watu wazima wenye akili timamu.
0 Reactions
7 Replies
845 Views
Wadau wa jukwa hili natumaini hamjambo na kwale waliopata na misukosuko ya mafuriko poleni sana. Nina swali langu hili. Baada ya kusoma yale yanayoendelea Mbagala Zakhem watu kufanya ngono mchana...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Mambo mengine kumbe huja automatic, nakuwa na msukumo mno wa kuwa na familia,watoto najihisi msukumo tokea ndani ya nafsi yangu Umri unakimbia age mate wote nafikiri now wanafamilia kama si...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
"Hakuna Mwanamke anayetaka Ustaarabu katika Tendo la Ndoa bali wengi wanataka Vurugu na Kuchoshwa", kasema Mtaalam wa Saikolojia. Kwa maana nyingine Wanawake wanapenda Kucheza Ligi Kuu ya...
20 Reactions
85 Replies
8K Views
Kwanza mnapaswa kujua akili wote mnazo isipokuwa mmetofautiana kwenye uwezo wa kutumia hizo akili na kufanya maamuzi. Brain sciens inaonesha mwanamke ana ute mweupe, whitematter mwingi zaid...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…