Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1) Tangu uanze kujua wanaume mimi ni wangapi? 2) Aliyekutoa bikira kweli unaweza kumsahau? 3),Ulitolewa bikira ukiwa na umri gani? 4,)Mwanaume aliyekuwa nae alikukosea nini ili na Mimi nisije...
1 Reactions
45 Replies
12K Views
Mwaka 2012-2015 nilikuwa nchi jirani kwa mjomba wang (yaani kwao mamaangu) nikiendelea na masomo yangu.. Kulikuwepo dada mmoja.. kwa jina ngoja nimpe jina la fatuma .. for privacy. huy mdada...
7 Reactions
81 Replies
9K Views
Aisee kwa kweli hawa watoto ni warembo mnooo karibia kila mchezo hakuna ngongozo hata mmoja zote ni maliasili, wote wabichi kabisaa halafu tunajua kujieleza very smart yaani. Hapa ni lazima niende...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo. Tazama picha za maharusi wao...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Shalom, Acha ukweli usemwe na pia acha ushuhuda uwekwe bayana. Binafsi kwa muda mrefu sana nimekuwa bahili hatari na nusu, ila uoto asili uliopo maeneo mbalimbali ya Tanzania umepindua meza ya...
3 Reactions
9 Replies
923 Views
Ibrahim Mungu anakuona Surrath kurjuan inakuhusuuuu
2 Reactions
9 Replies
931 Views
Haya mambo kuingilia wanawake kinyume na maumbile kwa sasa yamekuwa ni fasheni lakini katika ulimwengu wa roho dhambi hii ni mbaya sana sababu utapofanya dhambi hii katika ulimwengu wa roho...
4 Reactions
9 Replies
804 Views
Habari! Bila shaka Wana JF wote tumepata habari ya kusikitisha juu ya binti aliyeingiliwa kingono na wanaume watatu baada ya kuhisiwa kuwa ametoka na mume wa mtu (mwanajeshi). Kwa muktadha ule...
4 Reactions
14 Replies
741 Views
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi sana ambapo sio kila changamoto inahitaji vikao vya nje ili kuzitatua, moja ya changamoto hizo ni baadhi ta wanawake kuwadharau waume zao. Kama una mke unampa...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta. Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela...
12 Reactions
32 Replies
1K Views
Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Bila shaka ni wazima mpaka mnasoma hapa. Hiki kitu aisee ni cha ajabu ni kama kinajicontrol chenyewe kwa namna fulani ya ajabu sana. Kipindi ambacho unahitaji mwenza wa kuanza naye safari ya...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mfumo ambao Mungu ameutengeneza huu ulimwengu, you don't chase for the things that you want, you attract them. How do u attract them? By positioning yourself accordingly. All I want in...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisoma na kufuatilia baadhi ya visa vya kweli katika vitabu na mitandao ya kijamii vinavyohusu mahusiano na ndoa kuvunjika na moja ya sababu zinazosababisha kutokea hayo ni Mahali pa...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Inatokea kwa jamii nyingi kuwa mtoto wa kiume kawaida au mara nyingi kwenye familia huwa na upendo mkubwa sana kwa mama yake kuliko kwa baba yake. Yuko tayari kuomba ushauri au kumshirikisha...
5 Reactions
29 Replies
6K Views
Anagalia vizuri hii picha, kisha useme kama inawezekana kwa mwanaume kuvumilia hiyo hali. Kama rangi ndiyo hiyo, harufu je? Kama kwa nje Pako hivo kwa ndani je? Hakuna haja ya kula ulojo, supu ya...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa hii hali maana nikimuona mwanamke hasa Hawa wa Rika langu awe amevaa vizuri au vibaya mawazo yanaelekea huko.Mpaka mwili unatetemeka na napata kizungungu na moyo kwenda mbio.
5 Reactions
12 Replies
687 Views
Wakuu...kuhusu ndoa Nathani sio kwa ajili yangu mimi nibakie single for life,imagine nina hasira to the maximum halafu mwanamke anaongea kama kasuku kunidharau mimi na kuushusha uanaume...
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya. Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo...
16 Reactions
31 Replies
4K Views
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu. Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
42 Reactions
124 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…