Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii lodge nikiyofikia Leo imenikumbusha mwaka 2015 nilipokuwa Arusha field kikazi. Naandika huu Uzi nikiwa hapa Musoma (lodge kapuni), sasa hiki chumba kinafanana sana na kile Cha Arusha (Cha...
39 Reactions
55 Replies
10K Views
Kuna ile mwanamke unamwona au mnafahamiana. Muda si muda mnapeana namba na mawasiliano kuanza. Katika kuwasiliana, mwanamke anajiletaleta au kujitongozesha. Lkn inatokea mwanaume havutiwi na yule...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nahitaji wenye uzoefu au mifano halisi katika hili nisije ingia mkenge au kufanya maamuzi sio mazuri Nilikutana katika ofisi napofanya kazi na Mwanamke ambae tuliwahi kusoma wote...
8 Reactions
89 Replies
4K Views
Mrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe Money penny: enhe nambie mrembo Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka, Mmoja ni mtu mzima miaka...
7 Reactions
127 Replies
4K Views
Naomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
6 Reactions
144 Replies
17K Views
Dodoma kuna watoto wazuri asikwambie mtu. Ilivyobaki Laki 1 nanusu ndiyo akili ikarejea. Nimeambiwa kipindi cha Bunge ndiyo mambo yanakuwa hivi. Hili nalo mkalitizame.
36 Reactions
200 Replies
9K Views
Uzi wangu wa kwanza kuhusu mpenzi wangu kukataa kuja nami US ulipata wachangiaji kadhaa huku baadhi walionesha nia ya kuja na mimi. Basi nikajitosa kwa mmoja, kuja kukutana naye mtoto mashallah...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Habari za muda huu Wana Jf Kutokana na halihalisi ya mabinti wa Sasa hivi kujiachia sana Hali imezidi kua Tete sana, Mimi ni kijana mwenye umri wamiaka 27 nilikua nampango wakuoa mwaka huu baada...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Watanzania, hasa akina baba, tunao wajibu wa kuwalea watoto wetu kwa kutowapa kila kitu, hata kama tumejaliwa utajiri wa kutosha. Tunapaswa kuwafanya watoto wetu wa hustle ili wajue kuwa mali...
1 Reactions
10 Replies
725 Views
Situation One Marry: Shouger mwenzako V anapitia kipindi kigumu saa hii na hana dalili ya kutoboa leo wala kesho, ingawa anajitahidi kunipa mahitaji madogo madogo ya muhimu na ananijali sana but...
10 Reactions
14 Replies
948 Views
Msimamo unilinde,siwezi kudate na mwanaume anayeishi Dar,yaani sijui kwa nini ila kwa kifupi ukinifuata pm ukishanambia upo Dar huwa sireply.moyo hupendi wanaume wanaokaa Dar Kama unakaa...
9 Reactions
100 Replies
8K Views
Ngoja niende moja kwa moja kweye mada husika, jana mida ya saa 10 jioni nilipokea simu kutoka kwa bi mkubwa mmoja wa makamo kidogo miaka kama 55 hivi, huyu bi mkubwa alikuwaga jirani yangu...
33 Reactions
286 Replies
31K Views
Habarini wana JF, Kwanza niwatakie heri ya sikukuu ya wapendanao mzidi kupendana. Tukirudi katika mada mimi ni mwanamke wa miaka 25 na mama wa mtoto mmoja. Nina mwenza wangu ambae ndio baba wa...
8 Reactions
181 Replies
17K Views
Habari wadau, Tumekua tukibishana na wenzangu kuhusiana na upendo wa kwanza yaani truly love. Kuna wanaosema upendo wa kwanza unakua wakujitoa sana yaani kama msichana ama mvulana anakua na...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Imekuwa ni hali ya kawaida kwa baadhi ya dada zetu kuvaa nguo zisizo na maadili. Je hii ni kwaajili ya kutafuta soko au fasheni. Na je wazazi wako na ndugu zako wanakuchukuliaje, na wewe...
0 Reactions
94 Replies
56K Views
Haijalishi mkeo kakuzidi umri, kipato au elimu usikubali mwanamke akuendeshe, usikubali dharau kutoka kwa mtu ambae unamvua nguo huo ni ubwege Mwanaume uwe na principle zako kama hawezi...
3 Reactions
9 Replies
959 Views
Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri...
12 Reactions
169 Replies
17K Views
Uzima upo? Majukumu yenu yanasemaje? Sijui ni mlemavu, nitakuwa nipo tofauti au nina tatizo kutokana na maoni ya watu humu ndani. Mimi siamini kwenye kupenda kusifiwa sifiwa, au kwenye kufanya...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Nilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie! Aliniambia tusijenge kwenye kiwanja changu kwa sababu ni mbali na mjini...
16 Reactions
68 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…