Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Swali langu ni kama lilivyo hapo juu, nini maana ya kukonyeza. Kama wewe ni wa kike ukakonyezwa na mwanaume ni nini kitakuja kwenye akili yako yani utatafsiri vipi konyezo hilo na utajisikiaje...
3 Reactions
52 Replies
23K Views
Mojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi...
12 Reactions
66 Replies
3K Views
Kichwa cha habari cha husika hapo juu. 1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah. 2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia. 3...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuzaa na pisi kali (mchepuko) raha sana, hasa hawa wenye shepu za kinyarwanda, na wameenda hewani, nikisimama naye mi namfikia kwenye bega tu. Ni miezi saba sasa imepita, tangu ajifungue mtoto...
5 Reactions
53 Replies
1K Views
Habarini, Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni...
39 Reactions
209 Replies
9K Views
Wanaukumbi mko njema Katika hali ya kawaida nilienda kusuuza rungu kwa binti mmoja hivi Kama kawaida yetu huwa hatunaga show mbovu, nikamwandaa kisaikolojia vizurii kabla hatujaingia ktk pit...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume. Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo...
14 Reactions
58 Replies
5K Views
Wakuu kwema? Mimi nina swali dogo sana. Watu hua wanasali sala gani au wanafanya nini mpka wanapata wapenzi wenye mapenzi ya dhati na wametulia?
8 Reactions
25 Replies
2K Views
I need a woman with a good shape to marry from all Tribe except a Haya, Nyakyusa, Nyaturu, Jita, Kurya,Chaga,Ngoni and other related to those. should be aged 25 to 30. Able to understand shortly...
12 Reactions
95 Replies
4K Views
Jioni hii nikiwa hapa nje kibarazani, nawasikia wanawake hapo koridoni wanamteta mshkaji mmoja hivi mpangaji kuwa anapenda mbunye lakini ni mbahili. Jamaa ana mwezi wa tatu tokea aondoke kwenda...
2 Reactions
19 Replies
920 Views
Wapendwa nawasalim. Katika hali ya u serious natafuta binti makini kwa ajili ya urafiki na ikipendeza kua nae kwenye mahusiano yenye future. Itapendeza sana muhusika akiwa na miaka 24 - 29. Na...
2 Reactions
12 Replies
606 Views
Marry Christmas to everyone in here.. Jamani mwenzenu nilikuwa siamini kama biashara ya ngono huwa hipo.. Karibu na hapa napoishi kuna sehemu maarufu sana kwa biashara hiyo ya ngono basi...
98 Reactions
416 Replies
74K Views
Nilitandika vibinti enzi hizo,na vikazaa hovyo tu,. Mi nikaendelea tu kibabubabu na kibibibibi. Mi ndoa nilishakataa. Sasa X zaidi ya saba wanataka kurudi ntawapeleka wapi? Huku nna x wa mwisho...
1 Reactions
1 Replies
328 Views
Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao. Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
1 Reactions
8 Replies
533 Views
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto. Big up kwa...
55 Reactions
314 Replies
10K Views
Kama kuna watani wa jadi wengine wasiotajwa sana basi ni hizi mbari mbili Mabinti under 25 Wamama( mashangazi) over 40 Kesi ya binti under 18 aliyebakwa na kulawitiwa na vijana under 30 Refer...
16 Reactions
45 Replies
3K Views
Mwenzenu Mangi nimepigwa na kitu kizito. Yaani siamini. Nimekuwa na kiherehere cha kuwatetea wanawake kwenye karibu kila nyuzi zinazomponda mwanamke lakini hivi karibuni nimepigwa tukio hadi...
21 Reactions
90 Replies
22K Views
Habari wadau Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira...
23 Reactions
270 Replies
7K Views
Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s...
31 Reactions
105 Replies
6K Views
Kuna maeneo ukipita usiku ni kama yamehalalishwa kwa ajili ya biashara ya ukahaba (Ngono) na mida ya saa mbili ukipita nyuma ya stand ya Nyegezi iliyopo Mwanza utadhani kuna shule ya wanafunzi wa...
12 Reactions
148 Replies
46K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…