Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimefanya utafiti wa kutosha. Hivyo nina 100% na kile ninachokizungumza (a) Fundi Simu (b) Chipser (Mkaanga Chips) (c) Bodaboda (Afisa Usafirishaji) (d) Wasusi wa kiume na wapaka rangi kucha...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
DADA ANGU KIPENZI NAKUKUMBUSHA TU Dada angu mwema, naipenda furaha yako nami sisiti kukuhusia katika yale niyafahamuyo mimi ambayo ni mambo mema kwenye maisha yako 1. DADA ANGU mwema, mwanaume...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
1.Katika Uislamu, Mtu anayetaka kuoa anapaswa kuwa na sifa kadhaa ili kuhakikisha ndoa inakuwa yenye baraka, imara, na yenye msingi mzuri wa kidini na kijamii. Sifa hizo ni pamoja na: 1. Kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma.. Watoto wa mke mkubwa...
9 Reactions
75 Replies
3K Views
Hivi kungangania mpenzi asiekupenda inamaanisha una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Aman iwe juu yenu wakuu wa jukwaa hili Kama kichwa cha cha habari kinavyosomeka hapo juu Nishawahi kuleta uzi hapa nikielezea kwa masikitiko makubwa sana ni kwa namna gani namzimikia butogwa...
3 Reactions
192 Replies
29K Views
Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze. Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani. Jambo kubwa...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama title inavyosema, Wanaume wengi siku hizi mlio kwenye ndoa mnaongoza kwa kulala na wadada wenu wa kazi. Sasa tunaomba kujua hawa wadada wa kazi wananini mpaka mnafikia hatua ya kuwakosea...
14 Reactions
1K Replies
107K Views
Kuna muda mwanamke yupo na wewe kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ni masikini hana chaguo lingine la ziada. Ukweli ni kwamba wanawake wengi tunaotembea nao na wale mliowaoa wanashikilia...
25 Reactions
93 Replies
4K Views
Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Naam naam, unaweza kutana na pisi kali ukaitamani. Hauna muda wa kuanza kuitongoza na kuidanganya unaipenda kwanza unakuta una manzi yako ambayo unaipenda kweli. Hivyo unataka zako showtime tu...
11 Reactions
125 Replies
20K Views
Iko hivi niko na demu huyoo sasa sijuii ushamba muda wote anata tuongee video call na mm huwa sifagiliii video huwa napenda chatting tuu sasa nifanyaje maana unakuta lipokwawat wengi sijuiii...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
MWANAMKE SURA BANA! TABIA INATENGENEZWA! Nimekua nikiwasikia watu wengi wakisema, "Uzuri wa mwanamke sio sura wala umbo bali ni tabia". Wengine wameenda mbali kiasi cha kuwaasa vijana...
13 Reactions
140 Replies
25K Views
1. Hakikisha unakuwa na good look Tumia kioo chako kujiangalia ukoje , usijiache muda wote uko rafu, new haircut itasaidia pia kukuonyesha upo tofauti na jana, si mnajua wanaume wanapenda upya wa...
16 Reactions
290 Replies
66K Views
Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine. Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja. Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini...
19 Reactions
49 Replies
3K Views
Kama uko dodoma,ni check inbox
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna kajamaa kananitaka niachie ngazi kwa mume wangu. Yaani niwe naye kama mke na mume nimuache mume wangu niliyenaye sasa hivi. Ni hivi nilienda supermarket kwa mkijana mmoja mzuri sana mrefu...
4 Reactions
206 Replies
17K Views
Huwa sipendi sana kuzungumzia kazi zangu flani flani. Ila kwa jambo la jana ngoja niseme upande mmoja wa kazi yangu. Pamoja na issues zangu nying mimi ni daktari Hosp moja kubwa hapa DSM huwa nina...
81 Reactions
180 Replies
23K Views
Mmkiwa shule ya msingi na sekondari kuna yule mtoto wa kike mmoja mnamuona wa ajabu, mshamba na mnamtania hadi anakosa raha... Nimekutana na mmoja sasa hivi kawa pisi kali hatari
4 Reactions
5 Replies
758 Views
Back
Top Bottom