Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gaga, Sep 5, 2011.

 1. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  1. Hakikisha unakuwa na good look

  Tumia kioo chako kujiangalia ukoje , usijiache muda wote uko rafu, new haircut itasaidia pia kukuonyesha upo tofauti na jana, si mnajua wanaume wanapenda upya wa mambo kila siku? basi tumia kioo chako kujifanya mupya kila siku.huwezi kumfanya mume awe na wivu kama unajiacha na kuwa kama golila kila siku,add some hair colour, look young, clean and healthy kila siku.

  2.Fanya shopping kidogo

  Save pesa kidogo hata kama ulitaka kumnunulia kitu, hairisha, nenda kanunue lingerie and get something strappy kiasi, colour zisiwe kali sana, ila zile zenye mvuto kwa rangi mnazozipenda, ukifika home, fungua kiduchu hata lesi tu ionekane iache,usimwambie na usivae kabisa, hii itamfanya awe na shauku kwa nini ununue kitu ambacho hujaplan kukivaa hivi karibuni?

  3. Nenda out...girls day out

  Epuka kukaa ndani tu kila saa upo kwenye simu, ukwapi, na nani, unafanya nini, kuwa huru,kuwa na hobby to keep you occupied,tafuta marafiki ambao sio common kwake, weka plans for the evening na hao marafiki zako.unataka ajue kwamba wewe ni mwanamke wa 21 century.if he doesnt have time for you, your not sitting down waiting for him to come around forever.

  4.Jiunge na gym

  Hakikisha ni ya Unisex, ujifanye unaelezea names za member wa gym na how wanajitahidi na mazoezi, na pia huwa wanakusaidia mazoezi mengine coz wewe ni new member, usisahau kuelezea six pacs zao kwa chati.

  5. Zawadi zenye maswali

  Hakikisha umejipanga na marafiki zako kwenye sikukuu kama valentine kuleteana zawadi, hasa red roses ambazo hazina note yeyote, ikifika jifanye kumuuliza kama ni yeye kaleta, pika cakula vaa vizuri mle chakula, utashangaa anakwambia chakula ni kizuri hata kama ni maharage ya chumvi na ugai wenye mabuja

  6.Mtumie jirani yako

  kama una jirani kijana mwenye mvuto ambaye huwa anafix au kuzibua mabomba au chochote ambacho anaweza kukusaidia mwite mwombe msaada na uhakikishe wakati anarudi anamkuta anamalizia kazi yake.then mpe ahsante mkaribishe siku ingine

  7.Muhakikishie Upendo na uimara wa penzi lenu

  Kama unampenda kwa ukweli mwanaume wako huna haja ya kumuumiza kabisa,tunataka tu kuwaweka kwenye right drection, wakati mwingine maongezi yanasaidia, ongea nae mwambie yeye ni mapenzi wa maisha yako na hakuna kitu kinachoweza kuwa between you two,wanaume pia wanapenda kuona kwamba wanahitajika na wake zao, kama wewe uko emotionally strong,sexy, entertaining,loving woman lazima tu atataka kuwa around you muda wote


  Tushee mawazo wapenzi
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Gaga kabla sija share mawazo... Hio ya 4 hio... mmm! kaaaazi kweli kweli....lol
  Na hivo ni Unisex ndo kabisaaaa....lol... maana hata kujifanya uko serious na mazoezi kunakua hakupo...
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hhahahaa yote ile ni ili uboreshe siku ziende tu tana unaelezea huku kama unawasha tv au unafanya kazi ingine kama hujali hivi, then unasema na yeye ajiunge ili tu awe karibu na wewe
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Gaga... I am sorry kama naenda off point... Nimependa post yako for imenifanya nicheke... Mwenzangu, wengine akikuta umefanya hio ya 6 yaani wewe mwenyewe utajibamba...lol... Usije sababisha tu huo fundi uchwara akapigwa bila sababu... BUT naona it is the one of the Best 'tingisha kiberit'... How he reacts speaks volumes kulikko hata atalo ongea... Asante... Nitaijaribu Gaga...
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  siku nikiwa nae nitafanya hivo thax kwa somo Gaga
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wamezoea mafundi bomba walevi wazee sasa mara kaja kijana jirani anasomeshwa veta huko huyohuyo ndio aje a fix bomba zangu, na unakuwa serious kias hana hata muda wa kuwaingilia kwenye hiyo kazi
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Nimechabo tu,......samahani kwa hili
   
 8. Yasmin

  Yasmin JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  thanx dear 4 ur good and educating advice
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Tatizo kumpata fundi bomba hubby aone wivu kazi kweli... labda umchukue mtu apose kama fundi bomba...lol....

  Alafu hio ya zawadi hio...sio woote wata mind.. wanaume wengi kweli hawajui umuhimu wa zawadi kwa wake zao... Wa aina hio hata akute umepata zawadi wala hata hashtuki... anaona kawaida.. Ila bana umpate wa zawadi na anakupaga, akute umepewa zawadi! Patakua padogo hasa kama hio Valentine yeye kanunua ya kizushi alafu aone hio ya maana...
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ashadii , kuna vijana watundu sana, pamoja na kuwa wasomi huwa wanajua mambo ya umeme na kadhalika, kama mimi mtaani kwetu kijana yuko kwao wana uwezo ila bado hajapata kazi anayo degree kanunua mashine ya kukatia nyasi ya umeme, akija kwako kufanya hivo unamlipa 30-40 inategemea na ukubwa wa garden yako, nahisi tunapolekea huko mbele wasomi wngi watafanya kazi yeyote tu
   
 11. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  IGWE nawe mbea, hivi hizo hapo juu akifanya mpenzi wako utasikia wivu?
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  IGWE Hebu rudi utupe a Man's perspective.... Ni kweli hayo yatafanya kazi?? lol
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Makubwa haya, yaani hii nayo ni Education? kazi kwelikweli.
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Gaga for further details itabidi umsafirishe huyo kijana... Hio naku PM... Maana mie wangu wivu hamna kabisa saizi... Wakati nasubiria nitaifanyia kazi namba mbili... Hio ya kuiacha wazi aione.. Hawa wanaume wetu wa Kiafrica bana hata hata notice - ananotice tu ukiivaa ... Chakufanya nachelewa kuanda chakula siku hio ili kids wawahi kulala, then ninatupia a sexy but a bit conservative lacy lingerie (najifanya nioge kabla ya kuandaa ili asione namtega)... nikirudi najipitisha pitisha kuandaa chakula, then namuaga na namuambia am not feeling well nawahi kulala...lol....
   
 15. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  reference is made to your heading,...sintasema kitu mpaka ubadilishe hiyo kichwa ya mada
   
 16. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mwambie kwanza gaga abadilishe heading,....heri mm sijasema bana
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Anawapotosha huyo hakuna analolijuwa kuhusu wanaume huyo, yote aliyoandika hapo ni sifuri.
  1. heshima
  2. Ufundi kunako 6 kwa 6
  3. Mapishi
  4. economy, ujuwe jinsi ya kusave matumizi na sio kufuja pesa
  5. usafi wa nguo na mwili na nyumba kwa ujumla.
  6. uvumilivu wakati wa misukosuko ya kimaisha, hasa kipindi uchumi unapoyumba.
  Nb: wanawake wenye mvuto sana machoni pa wengi si chaguo la wanaume walio wengi kuwa wake zao wa maisha ila kwa ajili ya mitoko tu na kuspend hii ndio sabau hata mamiss unaona hawaolewi. huyo Gaga anawapotosha vibaya mno.
   
 18. Yasmin

  Yasmin JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  education is not just going school.
   
 19. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Haibadilikagi mpaka kwa msaada wa mods, na kuwazoezzoea kila mara kuwa PM wanakunote mie sitaki kabisa, nikipokea tu PM ya invisible moyo unaenda mbio na yale macho ya avatar ake looo
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hiyo itakuja na heading How to handle your man, au sio
   
Loading...