Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu Mzee Canal Metili (78) akikata keki na mkewe (27) tarehe 08/01/2022 Nyumbani kwake llboru-Arusha Hii ni kama Mzee Wangu Anatafuta Kifo Mapema Huyu. Huyu Mzee Yuko Kwenye hostile...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Nikiwa kama kichwa cha familia, nyumbani kwangu ni sheria zangu, na linapokuja swala la sheria kwa wageni huwa zimekazwa mno kwa wageni wa kiume ambao ni miaka 28+ maaana hawa tayari ni wanauume...
28 Reactions
102 Replies
11K Views
Shabaaaash! Habarini wanajukwaa. Mke wangu ana muda usio mrefu tangu ajifungue na anakaribia kuacha kunyonyesha sasa kwani mtoto ameshakuwa mkubwa. Tatizo ni kuwa nilimuanzishia diet ya...
16 Reactions
98 Replies
10K Views
Hii tabia imekuwa kero sana hasa kwa wanawake walioolewa yaani ukimkuta nyumbani unashindwa kutofautisha mama mwenye nyumba ni yupi na house girl ni yupi. Yaani wote wanavaa nguo kama vibarua...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Happy hurry Xmass to you all and I wish alot of love and happiness. Narudi kwenye point wanawake msijidanganye kuwa eti kwa maana humuombi boyfriend/fiancee/mume pesa kisa wewe ni mwanamke wa...
11 Reactions
124 Replies
10K Views
Mke wangu alichukua simu yangu na kufuta namba ya mpenzi wangu mwingine, namba ya Magreth na kuhifadhi namba yake ya kuwa anaitwa Magreth. Sikujua kuwa kuna mtu alimwambia mke wangu kuhusu...
27 Reactions
67 Replies
8K Views
Wakulungwa.... Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni..... Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao.... Mahaba niache nipange mipango maisha...
20 Reactions
137 Replies
7K Views
Huyu mama wa binti mmoja tu, mchacharikaji anaemiliki guest house kama 20 katika miji tofauti. Yeye hakuwahi kuolewa na sexual life yake ni ya siri sana. Kumbe hupenda kuvinjari na vijana akiwa...
16 Reactions
43 Replies
6K Views
Salam! Hivi Kuna mbinu yeyote mtu anaweza akaacha kufanya ngono na mbinu hizo ni zipi? Wanasaikologia; Msaada tafadhali. Mimi ni jinsia ya ME.
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Jamaa alianza mahusiano na rafiki wa mke wake. Baada ya kuaga anasafiri, kaka wa mke aliamua kumpeleka dada yake kula nyama choma. Huko ndiyo wapenzi wapya wa siri waliamua kwenda kula nyama...
11 Reactions
58 Replies
5K Views
Kuna kisa nimekutana nacho, kisa hiki ni cha mwanaume aliyefanikiwa sana kimaisha. Kwa taaluma ni mhandisi anaefanya kazi na kampuni za kigeni. Mshahara wake kwa mwezi ni kama 12 million hivi...
10 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna kitu nataka kuongeya kuhusiana Na tukio hili ambalo lilitokea siku hizi la Jamaa fulani kumpiga mke wake risasi Nimesoma comment nyingi watu wengi wanamlaumu mwanaume kuwa amefanya vibaya...
17 Reactions
81 Replies
7K Views
Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo. Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto...
3 Reactions
83 Replies
14K Views
Mu hali gani? Sijajua huenda ni tatizo au la! Wanaume wengi hupenda wanawake wanaojishughulisha kwenye ku-do, wanaokatika, mbwembwe kama zote n.k Pia kuna wale wanaopenda kutomaswa japokuwa ni...
16 Reactions
131 Replies
11K Views
Wadau, mnakumbuka nilileta uzi kuhusu binti aliyekwenda nchi za Kiarabu kufanya kazi? Sasa hivi, kuna jambo limetokea na nipo njia panda. Kwa kifupi, mimi kwao sijulikani vizuri, wazazi wake...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Wajumbe sikieni hii. Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro. Kipindi hicho mimi nilienda ofisini kwao kufanya field, kwa sababu...
65 Reactions
435 Replies
83K Views
Leo ngoja nikusifie mtoto wa kipare, tulianza mahusiano nikiwa chuo mwaka wa mwisho nikiwa chembamba cheusi sivutii nani angenitamani kipindi kile mtoto wa watu kigori cheupe kifupi kinene...
17 Reactions
25 Replies
3K Views
Maisha is going fast kabisa Yaani juzi juzi apa kanikataa na kunitukana kinoma eti kisa amepata mwanaume ambaye kwao Wana uwezo wa pesa. Aka ni sau mimi ambaye nilikosa usingizi ili ale vizuri...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Vp guyz... Nina tatizo ambalo sijui ni kwanini lina nikumba.. kila nikimuona manzi nahisi kama ana mtu yani najikuta muoga kuomba namba.. coz nipo kwnye process za kutafuta mchumba ila kujiamini...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…