Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

HESHIMA KWENU kupitia maisha ya kila siku ni kweli kuwa jina hali define hatima wala halileti hela. ila kwenye dini zote tunasisitizwa IMANI MOVES MLIMA , tunaweza kuinvest majina kwa watoto...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Uliwezaje kumwongoza kijana balehe kimalezi kwenye umri wa upumbavu (foolish age)? Umri una changamoto sana huu maana kijana ameanza kuutambua ulimwengu na mema yake. Kipindi hiki kiburi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari zenu? Niende kwenye mada! Ni furaha kwangu pale ninapokutana na mwanaume mwenye mienendo ya kiume. Kwakweli inachukua muda kukutana na mwanaume haswa. Kwakweli wanaume wengi tumepoteza...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya kukaa mda MREFU Sina mahusiano nikaamua ngoja nitest skills zangu wazee Nikamtokea Binti mzuri mtoto wa 2000 akakubari ila nilipomsoma nikaja gundua ni mtu wa tamaa sana He only check...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Mwenye sikio na asikie 😁😁😁😁😁😁
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari wakuu! Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo. Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa...
17 Reactions
58 Replies
3K Views
Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe.. Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana.. Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Naakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana. Juzi wakati natoa...
6 Reactions
108 Replies
7K Views
Sometimes unajiuliza maisha yana maana gani? Aisee waliosema "It takes courage to love" hawakukosea. Nilikutana na huyu binti mzuri sana, zaidi ya sana mahala fulani hapa dar. Kuna kitu...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wadau, Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa...
30 Reactions
394 Replies
26K Views
Habari yenu ndugu zangu. Niende kwenye mada. Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa. Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer...
22 Reactions
188 Replies
8K Views
Naombeni ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini. Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye...
22 Reactions
94 Replies
5K Views
Hicho kiwanja andika majina ya watoto wako, usiwe loofer. Kama mkeo hakusikilizi, wewe ni loofer. Kama mkeo anakupangia namna ya kutumia ela zako wewe ni loofer. Kama mkeo umemfungulia biashara...
4 Reactions
12 Replies
517 Views
Kipindi nimemaliza kidato cha 4 nikiwa sina hili wala lile yani sina mchongo wowote ule, nilisoma mbali na kitaa chetu kwahiyo kupata hata masela wa kunipa dili ilikuwa ngumu. Kuna siku nilikuwa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Uyu demu ni material oriented Kuna siku tunaenda nae sehemu Kwa kutembea tumepanga twende Kwa mguu nilikuwa namsindikiza unfortunately akatokea boda akapanda wakasepa Na Huwa namjali kumhudumia...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Najiona kwenda kuangukia kwenye ugonjwa wa moyo kutokana na changamoto za huyu mwanamke. Nimekosea sana kupuuzia baadhi ya mambo kipindi cha uchumba nikidhan atabadilika. Anamatumizi mabaya ya...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
  • Closed
Habarini za wakati mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 28,natafuta mpenzi wa kike hasa awe na jinsia mbili ila ya kiume iwe haipo active na kama ipo active awe tayar kufanyiwa upasuaji kabla ya...
3 Reactions
76 Replies
8K Views
Nguvu tunazotumia kuwekeza sehemu tusipotakiwa huwa ni kubwa sana kiasi kwamba hizo nguvu zingewekezwa pengine zingeleta matokeo chanya na makubwa. UKIONA UNATUMIA NGUVU NYINGI NI DALILI KUWA...
1 Reactions
6 Replies
540 Views
Habari wakuu, Mjuavyo tena, mwanaume bila michepuko ni sawa na jogoo kuishi na mtetea mmoja, kitu ambacho hakiwezekani. Nimebahatika kuwa na michepuko kadhaa, ambao ni pisi kali; na baadhi yao...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu. Je, Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego...
5 Reactions
72 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…