Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuja tena mzee wa fact naanza kwa salamu habari zenuu !!!? Twende mbele turudi nyuma HAKUNA mwanaume mwenye kibamia , Early 1999s mpaka late 2009s hakuwa kabisa na haya mslalamiko kutoka kea...
7 Reactions
51 Replies
10K Views
๐˜๐˜ข๐˜ฃ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช ๐˜ป๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ถ, ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฑ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ธ๐˜ข, ๐˜”๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ซ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ 26. ๐˜•๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ฑ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฉ๐˜ฆ๐˜ฎ๐˜ถ ๐˜ง๐˜ญ๐˜ข๐˜ฏ ๐˜ต๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฑ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข๐˜ซ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ข, ๐˜ธ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฆ ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข๐˜ซ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜บ๐˜ฆ๐˜ฐ๐˜ธ๐˜ข ๐˜›๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฆ ๐˜ธ๐˜ข๐˜ธ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ฆ ๐˜ธ๐˜ข 3 ๐˜ช๐˜ญ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฆ ๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฏ๐˜จ๐˜ญ๐˜ฆ ๐˜ฎ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฉ๐˜ฆ๐˜ณ...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Team Kataa Ndoa Mpo? Sidhani kama kuna haja ya kusalimiana. Kama kuna mtu ana lolote anaweza akasema linalomsibu kwenye nafasi niliyoiacha hapo juu. Najua humu jukwaani kuna movement ya Kataa...
4 Reactions
6 Replies
632 Views
Ngono ni tamu sana, lakini inaweza kuharibu maisha yako na mustakabali wako mzuri. Somo la kwanza โ€“ Uume wako si rafiki yako; unaweza kuwa adui mkubwa mpaka utakapojifunza jinsi ya kuudhibiti...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo nimegombana na rafiki yangu wa damu, "hustler" mwenzangu. Juzi kati aliniambia anataka kumuoa mwanamke mzee, "kibibi" mwenye umri wa miaka 28, ambaye kazaliwa mwaka 1997 kama sijakosea . Huyu...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma? Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake.. Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake...
15 Reactions
212 Replies
7K Views
Umekuwa omba omba wa upendo, unahitaji mtu wa kukupa upendo lakini upendo wenyewe ni asili Unaye muomba upendo kosa huanza hujui ni namna gani anajipenda, nikweli ana upendo lakini hufahamu...
1 Reactions
0 Replies
300 Views
Salaam wanajukwaa. Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu. Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari za jumapili Nina tatizo nimekaa nalo mda mrefu saana..ila kwa sasa nataka niache nioe niwe na familia naombeni msada wenu. Mimi nina umri wa miaka 33 mwaka 2003 kulikua na House girl...
13 Reactions
74 Replies
5K Views
Msitofautiane sana...mfano elimu,ukwasi,elimu,mila na desturi,imani n.k Awe rafiki yako...mnaweza jadili mambo ya michezo,cinema au burudani mkafurahi mkiwa wawili tuu tena kwa mda mrefu na...
3 Reactions
5 Replies
442 Views
UZI WA KIJOBLESS ( c&p:x) Leo ngoja niwape stori moja hivi. Kuna siku bhana mteja alinicheki akasema anahitaji mataulo matano meupe. Nikasema haina shida umepata, nipe location akanitajia ila...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Ntaka niolewe lakini niendelee kuwa na uhuru wangu! Nina mchumba wangu ambaye Mungu akipenda, mwezi huu mwishoni tunafunga ndoa. Hata hivyo, nimeshaanza kuogopa. Sio kwamba ananifanyia kitu...
27 Reactions
144 Replies
7K Views
Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
16 Reactions
87 Replies
3K Views
Habari, jina langu halisi ni Baraka, nina miaka 39. Kwa sasa, niko katika hali ngumu maishani. Sina makazi wala mali, na bado najitahidi kujenga maisha yangu upya. Hata hivyo, nina imani kwamba...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi, Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na...
28 Reactions
137 Replies
10K Views
Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja...
19 Reactions
299 Replies
33K Views
Salaam jamiiforum hope my wazima. Jamani maisha ndiyo haya haya,utake usitake bado utaishi kwenye mfumo wa maisha ya watu wengi. Ukijipata kidogo kimaisha ukawa na uwezo fulani basi umetengeneza...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke. Asiwe mdogo sana au mzee...
14 Reactions
228 Replies
15K Views
Niseme machache huku nikitamani kusikia testimonies za wengine zinasemaje. Upendo: Tunajifunza kupitia watu walio tuzunguka na matukio yanayotuzunguka. Pia kupitia Elimu mashuleni na Media...
2 Reactions
12 Replies
941 Views
Mm binafsi Kuna madeni ambayo nadaiwa ni zaidi ya laki 2 kwa watu tofauti Ila sitaki MKE wangu ajue hata Kama nilifanya matumizi ya ndani. Je, Kuna hasara, madhara au faida gani kumshirikisha...
3 Reactions
16 Replies
622 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ