Wakuu sisi ni wamasai.
Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.
Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu (ila bado sijathibitisha) ni wakorofi sana.
Mnaona...
Narrative kama..
"Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu"
"Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi"
"Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka"
"Sitaki niolewe then nipelekeshwe"...
Mkasa ni wa kweli kabisa
Mnamo mwaka 2024 mwezi 7 niliapata kujuana na bint tumuite rose alikua muuza duka la nguo mimi nikiwa msimamizi wa eneo hilo lote.
Huyu bint rose ni bint wa kinyakyusa...
Nawasalimu.
Ama baada ya salamu.
Nimekuja hapa nikiwa nimevaa viatu vya mwalimu wangu aliyenisomesha baadhi ya vitu katika maisha.
Huyu jamaa ni muislamu. Kama inavofahamika kuwa uislamu...
Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko...
Leo nilipigwa na bumbuwazi baada ya kuona mke wa rafiki yangu ambaye ni mke wa ndoa na watoto wanao na ni mlokole sana nilimwamini sna nikawa mpka nimewapa gredit sana wanawake wa namna hii ila...
Ndoa ya Kikristo ina Vigezo Gani
Hii ni ndoa inayofungwa katika kanuni timilifu za Mungu alizozikusudia tangu mwanzo.
Vigezo vinavyohusika vimeainishwa katika sehemu zinazofuata hapo chini.
Wote...
kuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D
Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake .
Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti
Kazi yenyewe atalipwa...
Note; ONLY FOR MEN
Natumai wote wazima
Tarehe 31/12 natimiza 20 years lakini kwanzia nikiwa na miaka 10 nimekuwa mraibu mkubwa wa ngono, punyeto na wanawake kiasi kwamba nimepoteza takribani pesa...
Kama mnavyojua kila mtu hapa kapitia kile kipindi cha balehe wenyewe wanakiita foolish Age ,
Yaani pale kama ni Ke yupo tayari kugombana na wazazi wake kwa sababu tu ya boyfriend wake, na pia...
Kwa kweli kaka Mimi naanza kwa kukiri katika mkasa huu Mimi ndiye chanzo cha matatizo na nimekuja kupata akili baada ya huyu mtu wangu kuwa haniamini, amekata tamaa na Mimi baada ya mlolongo wa...
Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli?
hujui nyeto na...
Usifanye makosa haya 5 kisa valentine
1: Mwili wako sio zawadi kwa unayempenda
Kama sio ndoa usitoe mwili wako kisa tu ni siku ya valentine, Siku moja inaweza kugharimu maisha yako yote,Jitunze...
Kama mnavojua tunakutana tukiwa watu wazima tuliokulia mazingira tofauti..
kabila tofauti mikoa tofauti, hivyo hatujuani wala kufahamiana tunaanzisha tu mahusiano
Natamani kujua ni kwa muda gani...
CHUDAI na WATAA ni maneno yanashika kasi sana kwenye pages mbalimbali za social media
Nimekutana nayo sana huko mjini X nimeyaona tena usiku huu
Hebu tusioyajua tueleweshwe tuache kupretend...
Hakika dawa ya kuacha nyeto automatically ni kukaa na mwanamke pamoja
Nlikua mdau wa nyeto a.k.a mkono bao tangu mwaka 2004 hadi mwanzoni mwa mwaka 2025
Hatimaye nikapata mtoto mzuri wa mwaka...
Mapenzi Shikamoo!
Usiku huu nimeshuhudia mkaka anarudisha gari na fremu ya biashara kwa mmama aliyekua anadate naye sababu amepata msichana anayempenda na anataka kumuoa. Huyu mkaka amekua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.