DALILI ZINAZOONYESHA UKIOLEWA UTATESEKA AU KUTESWA SANA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa Wanawake wengi Ndoa ni Kaburi, Ndoa ni Gereza la Guantanamo. Nikiwa sitaki Leo kuleta Fujo Sana na...
Mke ukiona haya jua kuna kitu hakijakaa sawa kati ya baba na dada anayewasaidia kazi za ndani...
DALILI YA KWANZA
Ishara ya kwanza ya mwanaume ambaye tayari yupo ndani ya uhusiano wa kimapenzi...
Ni mwaka Sasa tangia mke wangu ajifungue lakini umbo lake limeongezeka amekuwa mnene kweli.
Ndugu zangu nyie mliwezaje ku handle hii kitu. Mimi huyu sahivi hanivutii kabisa kwa huu unene!
Mtu...
Habarini Wakuu
Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo.
Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake...
Huu ndio mwezi wetu wale wote tulio penzini, yaan lile penzi shatashata sio penzi la upande mmoja, raha ya penzi liwe 'nachuro' sio penzi la mizizi na kuaguliwa,
Anyway, kikubwa penzi liwepo na...
It's my first thread here and I hope we all get along guys, actually nilikua nahitaji sehemu sahihi ya kuelezea what I went through and I think this is the right place....
Changamoto...
Hakuna familia imara inayoongozwa na baba dhaifu /baba legelege.
baba legelege sio huleta mateso kwa watoto bali huwa chanzo cha manyanyaso kwa mama watoto wake.
Baba legelege huwa hawezi...
Habari za muda huu waungwana.
Mapenzi ni maisha na mapenzi ni sehemu kubwa ya maisha. Ni vigumu kuyaweka kando mapenzi kwani hata ukifanya hivyo moyo utakuamulia, hivyo basi hatuwezi kuyacha...
Salaam jamiiforum
Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo.
Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno.
Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya...
Wakuu,
Huyu mwenzetu asijekuwa amepigwa juju hajielewi, maana kwenye video zote namuona akiwa kama zoba fulani hivi, sio mwonekano wa Aziz Ki tuliemzoea, sura yake inaonesha uzoba grade A kabisa...
Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo...
Moja ya tamaduni za kale huko nchini DENMARK ....tamaduni hiyo iliyokuwa inahamasisha suala LA ujenzi wa familia iliitwa “pebermø”.
Inasemekana tamaduni hiyo ilikuwa karne nyingi zilizopita...
Hatuwezi kufanana, mwenye maneno atasuka sentensi zake, mwenye gari atatumia lifti, mkaanga chips atapooza njaa, n.k.
Utanashati una uzito kiasi gani kwenye mvuto
Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu...
Jamani za muda huu,
Baadhi ya wapenzi wetu muwe mnakata viuno vya wastani wakati wa kusex.
Viuno vikizidi hadi beat tunakosea nawaombeni sana mapenz sio ugomvi ile ni burudani.
Nawasilisha
Nauliza swali tu wanaume .
Nani anawaambia kuwa mimi ni wakuzalishwa bila ndoa naninataka kupunguziwa haja na mtu ??
Jueni hili miaka yenu yote mie nilionwa sifai nanyie nikazoeaa . Halafu kila...
wana JF leo nimeona nilete marejesho
Nasikitika sana kuwa mdogo wangu anajihusisha na mambo ya kishoga yaani mdogo wangu mimi ni shoga daaaah naumia sana nilifanya uchunguzi wa kina nikagundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.