Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

jamaa moja amekutwa kwenye zizi la ng'ombe akifanya malavidavi na punda jike, Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 4 usiku, Inasemekena kwamba huyo jamaa si mara yakwanza...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
.......mwanaume zima unashika shika mikoba ya wanawake!! we vipi??? Yalikuwa ni maneno yaliyonichoma barabara moyo wangu tena kutoka kwa mwanamke ninayempenda kuliko wote, yaani mke wangu...
4 Reactions
129 Replies
10K Views
Habarini wanajamvi. Kuna aina nyingi sana za marafiki..na urafiki inategemea mmeonana vp siyo..sasa naomba kujua kwa nini kama una rafiki yako mlikuwa hamuongei habari za hela wala kukopeshana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana MMU sitaki kuamini ila ndio Hali Halisi. Mwenza wangu niliedumu nae kwa Mwaka na Nusu Nikimsubiri yeye ili tuanze Maisha, Amenipigia Simu Nusu Saa Iliyopita eti hanihitaji tena. Nilidhani...
3 Reactions
189 Replies
16K Views
NIMEIONA MAHALI HII....ISOME NA WEWE USIJALI KAMA NI NDEFU SANA.... Mimi na girlfriend wangu tulikuwa tunapendana sana. Tulikuwa tumeishakuwa pamoja kwa mudawa miaka minne hivi, na hivyo tukawa...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
[emoji41]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa hizi: awe na Kazi.awe na Nyumba ya kuishi. Awe tayari kuwa katika ndoa wake zaidi ya mmoja.awe naheshima. Alie tayari awake namba yake hapa
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari members natafuta mchumba wa kike umri usidi miaka 30 awe msomi wa chuo kikuu na mwajiliwa/anafanya kaz mwenye tabia za kupendeza na mkristo mim nafanya kazi serikalini 0779971855
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jamani fireworks zimepigwa marufuku. Hamna fataki wala mimoto angani. Angani giza limetanda kama tuko pangoni, lakini ndani mwa moyo wangu kuna mwanga mkali unaangaza. Unamulika kwenu huku...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Closed
Mtoto huyu anaitwa Benedicto Tungaraza. Amepotea leo tarehe 8/1/2013 maeneo ya kimara-baruti. Alikuwa amevaa shati la drafti mchanganyiko wa rangi nyeupe na damu ya mzee, suruali ya rangi ya...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kuna wazazi bado wapo mfumo wa zaman( analogia) wanajifanya busy na dil za kimaisha wanasahau watoto wao kimalez.watoto wanakuwa wa mahouse girls/boyz,mtoto miaka miwil boarding schools.mnalala na...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Habarini wanajamvi wenzangu ya leo tena ni kali kwani nimeingia kiditali kabisa kuwaasa na kuwaonya wale WANANDOA NA WASIO WANANDOA humu jamvini na kwingineko kule. Nina jambo nataka tulikumbuke...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Tiger Woods and ex-wife Elin Nordegren during the opening ceremonies at the AT&T National golf tournament B [Photo: AFP] Tiger Woods tries to 'win back ex-wife Elin with a Sh17b deal' Kwa ufupi...
10 Reactions
72 Replies
6K Views
Kamati ya Bunge - Afya / Ustawi wa Jamii waliotembelea kwenye ofisi ya mkemia mkuu, wameelezwa kuwa asilimia 60% ya wanaume waliopima vinasaba (DNA) wamegundua kuwa watoto wanaosaidikika kuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu mnaonipa maujanja ya maisha...habari zenu! Jamani, hivi utajisikaje na kuchukua hatua gani iwapo wakati mko kunako 6x6 kwenye tendo la faragha mwenzio anaweweseka wakati wa tukio huku...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni dunia ya mikiki mikiki. Kuchelewa kufa ni kuona mengi lakini usiombe kukutana na viroja vya Wachawi wa Sumbawanga. Katika kipindi ambacho nimeishi kwenye ulimwengu ambao wengi wanadhani ni wa...
2 Reactions
65 Replies
68K Views
wanawake muache ukatili,kama ampendi kuzaa kwa nini mnafanya!! inasikitisha si bora umtelekeze kwenye nyumba ya kulelea watoto au sehemu za wazi,kuliko kumzika akiwa hai,uyu mtoto alizikwa na mama...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana jf hususani wapenzi wa MMU, Heri ya mwaka mpya. Nina andika ujumbe huu baada ya uchunguzi wa muda mrefu wa nyuzi mbali mbali (threads) zinazo wekwa na wadau mbali mbali. Kwa muda mrefu...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimeona niweke special thread jinsi ya kuwasaidia vijana namna ya kupata wachumba, Nimeshuhudia vijana wengi sana wakiteseka katika harakati za kutafuta mwenzi wa maisha. Siku zote nimekuwa...
1 Reactions
3 Replies
10K Views
Habarini waungwana! Jana nilikutana na jamaa yangu mmoja ambaye ni muhudumu wa afya, akanipa ofa (si kawaida yake). Kwa hali hiyo ikabidi nimdadisi, ndo akaniambia amepewa ahsante baada ya...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…