Je unafanya haya kwa mwenzi wako?

Je unafanya haya kwa mwenzi wako?

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini wanajamvi wenzangu ya leo tena ni kali kwani nimeingia kiditali kabisa kuwaasa na kuwaonya wale WANANDOA NA WASIO WANANDOA humu jamvini na kwingineko kule.
Nina jambo nataka tulikumbuke au tulijue hususani kwa wanandoa waliotimiza ahadi zote za ndoa, . Nataka kusema leo lile swala letu la KIAPO CHA NDOA pale mlipofunga pingu za maisha hususani yale maneno yanayosemwa na viongozi wa dini au serikali katika boma. Je kwenu wanandoa mnayazingatia yale maneno ya kiapo au mnakuwa tu pale kama pambo tu na mnakumbuka maneno ambayo mliambiana siku hiyo ya fungate, iweje sasa NDOA nyingi zimekuwa na mgogoro ndani yao na iweje mnarushiana vijembe ndani ya ndoa na wakati mlisema maneno yenye mvuto na upendo kati yenu. Au mmesahau kuwa nyie ni kiungo kimoja ambacho siku hiyo Mungu aliwaunganisha mkawa mwili mmoja. Sasa je hayo maneno ya kashfa, dharau, majivuno na kutupiana lawama yametoka wapi tena? na wakati mlisema nyie kuwa mtakuwa pamoja katika raha na shida zote za maisha yenu. KUMBUKA yale maneno ya kiapo ambacho ulimwapia mwenzako kuwa utakuwa naye katika shida na raha, utampenda na kumtunza, kumjali, utakuwa mtiifu kwake, utamheshimu mpaka kifo kiwatenganishe, sasa je kwanini mmebadilika na kuwa watu wasiopendana kama awali?.

HEBU SOMA HAPA NA UJITAMBUE ULIKUWAJE KABLA YA NDOA YAKO:

MUME: Nilitamani sana muda huu ufike.
MKE: Vipi wataka niondoke?
MUME: Hapana hata kidogo,
MKE: Unanipenda?
MUME: Ndio maanake.
MKE: Utaniletea demu (mwanamke) mwingine ndani?
MUME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MUME: Kila mara!
MKE: Je utanipiga?
MUME: Aaaa! haiwezi tokea.
MKE; Naweza kukuamini?
MUME: Ndio.
MKE; Aaaah! Mpenzi!

Ukitaka kujua BAADA YA NDOA inakuwaje hebu soma kuanzia chini ya hayo maneno ukienda (kuelekea) juu ndipo utagundua kuwa NDOA nyingi za sasa zina dosari na migogoro haiishi kamwe pasipo mtanguliza Mungu ambaye ndiye mwanizilishi wa NDOA. Ni vyema wanandoa na wasiona ndoa mkajifunza hii na kufuata vile Mungu anavyotaka.
 
ANGALIA PICHA HIZI HAPA UONE JINSI MWANZO WA NDOA UNAVYOKUWA MTAMU LAKINI MWISHO WAKE mmhm! MATATIZO ONA HAPO:
 
Attachments

  • wedd 1.jpeg
    wedd 1.jpeg
    2.4 KB · Views: 921
  • wedd2.jpeg
    wedd2.jpeg
    3.5 KB · Views: 927
Vija waleo mupo ki bongo flaver zaidi ndio maana ndoa zina washinda. Tofauti na cc wazee wenu, cc tulijua thamani ya penzi, tofauti na nyinyi, cc tuli hesmiana, nyinyi zarau zime wajaa, cc tuliamini ana lakini nynyi kilamtu amwamini mwenzie. Tazama mm na bb yenu, nya nkwanyu! Mpaka leo tuna miaka 46 ktk ndoa ye2, tume bahatika watt 12 na wajukuu 8 lakini mpaka leo namuona mpyaaa, nayeye ananiona na ng'aa. Hiyo yote sababu tulimueka mungu mbele, heshima,kuaminiana,kujali ana. Tofauti na nyinyi mnampinga mungu. Mungu anasema "Mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke" lakini nyinyi mna pinga. Angalia, hivi sasa nyumba nyingi zina ongozwa na akina mama eti anakuja mtu ana kwambia Haki kwa akina mama eti nawao waolewa mara mbili kwa wakati mmoja dah! Vichekesho kweli! Kwakweli siri ya mafanikio ktkt mapenzi ni kuelewana, kuckilizana, kuheshimiana, kuoneana huruma kuvumilina na kujifunza kitu kipya cha mapenzi kila siku. Na iwe wazi, mwanaume ndio kiongozi kwa mwanamke ( mkewe ) hapo mtafika mbali kama mm na bb yako.
 
chukua like yangu ya tecno
 
Hakuna cha masihara yeyote yale ni uamuzi wako tu utakaokutuma ufanye niini au naongopa Mentor hebu msaidie huyo ingawaje najua ujapitia katika NDOA ila ushauri wako wa muhimu kwake ati! Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei nisaidie hili kwani huyu Eiyer inaelekea hajaelewa kitu hapa mpe somo kidogo namna ya kuishi na mwenzi
 
Last edited by a moderator:
hivi uwewe kweli ni mzee au? Kitoabu
 
Last edited by a moderator:
Vija waleo mupo ki bongo flaver zaidi ndio maana ndoa zina washinda. Tofauti na cc wazee wenu, cc tulijua thamani ya penzi, tofauti na nyinyi, cc tuli hesmiana, nyinyi zarau zime wajaa, cc tuliamini ana lakini nynyi kilamtu amwamini mwenzie. Tazama mm na bb yenu, nya nkwanyu! Mpaka leo tuna miaka 46 ktk ndoa ye2, tume bahatika watt 12 na wajukuu 8 lakini mpaka leo namuona mpyaaa, nayeye ananiona na ng'aa. Hiyo yote sababu tulimueka mungu mbele, heshima,kuaminiana,kujali ana. Tofauti na nyinyi mnampinga mungu. Mungu anasema "Mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke" lakini nyinyi mna pinga. Angalia, hivi sasa nyumba nyingi zina ongozwa na akina mama eti anakuja mtu ana kwambia Haki kwa akina mama eti nawao waolewa mara mbili kwa wakati mmoja dah! Vichekesho kweli! Kwakweli siri ya mafanikio ktkt mapenzi ni kuelewana, kuckilizana, kuheshimiana, kuoneana huruma kuvumilina na kujifunza kitu kipya cha mapenzi kila siku. Na iwe wazi, mwanaume ndio kiongozi kwa mwanamke ( mkewe ) hapo mtafika mbali kama mm na bb yako.

Hamna kitu hapa, akili za bongo flavour hizi.
Halafu inaonekana umezaliwa mwaka 2000 wewe.
 
Excuse me sir..angalia usitupe mawe kwenye nyumba ya bati ukasahau unaishi kwenye nyumba ya vioo.
SWALI LANGU: NANI KAWALEA HAWA VIJANA WA LEO?
 
ndo za sasa vigezo na mashart kzingatiwa na ndo maana hata kuachana kwake lazima uwe na vigezo
 
Shukurani sana nimekuelewa vizuri kilichobaki ni kufanyanyia kazi.
 
huyo aliyeazaliwa mwaka 2000 ni nani mbona tunakoseshana heshima ndugu MESTOD
 
Last edited by a moderator:
Mentor aliowalea hao vijana ni hao wazee sasa nashangaa kuona wanatusema kiasi hicho wakati tunajifunza tabia toka kwao wazee wetu sasa nani wa kulaumiwa hapa si hao aus sio ndugu?
 
Last edited by a moderator:
Chezea wanawake wa kileo ukisema a yeye anasema b unategemea itakuwaje? Ni kubuluzjana tu hawajui kuwta mwanaume ndo kichwa cha familia.
 
ni mkuu JOJIKI umenena na nashukuru kwa kunielewa najua nawe utafanyia kazi uhusiano wako na wifi yangu au shemeji yangu?

hongera
 
Last edited by a moderator:
kweli Ilambo umesema ila sio wanawake wote wako hivyo ni baadhi tu wanaoharibu kundi zima la wanawake kwani wengi wao hawajatulia kabisa na wako macho juu tu wengi hawapendi kutulia home na waume zao walichofuata kwa waume zao ni pochi na pindi zikiisha basi utaona na wao wanatoka ila hili ni onyo kwa wote wanaume na wanawake wasiotulia ambao hawathamini NDOA ambayo msingi wake mkubwa umetoka kwa Mungu ndiye mwanzilishi wa ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom