Kuna msichana anainipenda kweli na kila siku haachi kuniambia kuwa ananipenda na anataka nimuoe ila ukweli ni kwamba simpendi kama anavyo nipenda yeye na sina mpango wa kumuoa na nimekuwa kwenye...
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa...
Wapendwa wanajamvi mie nlikua nnaomba wanajamvi ambao mnaleta incidences,situations au chochote na kisha wanajamii wanatiririka kwa ushauri,maoni,jokes na wakati mwingine hara kupata exactly...
Jamaa yangu ana demu wake anampenda sana,pia ana wivu mbaya,kademu baada ya kulijua hilo kakawa kanamletea pozi sana mara kamwambie waachane,mara jamaa asijisumbue kwenda kujitambulisha...
Huu hapa wimbo wa Dido, one of my fave artists.
Nawatakia wapendanao wote sikukuu njema kesho,
As we know mapenzi ni kila siku, sio tu Feb 14th
But as far as "sikukuu" goe, make this one special...
The more men want sex the more they lower their standards while frisky females RAISE theirs, new study finds
Sexually hyperactivated men consider almost ANY female a potential partner
Sexually...
walio kwenye mahusiano 95% wanasalitiana kwa njia zifuatazo
1. kwanza kabisa kwa message na mitandao ya kijamii
2. kwa simu ya kuongea kwa sauti kwenye simu
3. kwa hisia ( hapa namaanisha mnaweza...
Ni miaka miwili sasa tupo kwenye mahusiano, na kwa kiasi kikubwa anafaa Kuwa mke wangu kwa sasa; kwasababu ya tabia, upendo n.k.
Changamoto niliyonayo ni wakati wa faragha. Ukweli ni kwamba nikiwa...
Jamani wanaJF mwenzenu nimeulizwa swali kuwa atajuaje kama mpenzi wake amefika kileleni (orgasm)? na afanye nini ili mpenzi wake afike? Mama kubwa nikaona ni busara kuwauliza wenzangu ili tuchange...
HIV is walking near to you and around the street, try to be aware and care especially during this stupid holiday and fake Valentine for Jobless people,,,Share love and care to beloved ones...
hellow people hope ua doing alright, its a matter of a small discussion and giving out opinions about this day we call valentines day, y do u think that most of us or a big number does not...
ndugu zangu kulingana na utandawazi na uhuru wa mawasiliano wabongo wengi wameanzisha blogu za picha na story za mapenzi
ktka mitandao ya jamii na blogu mbalimbali wanapost picha mbaya ambazo...
Hay wana jf
Happy Valentine1
Natumai muwazima wa afya tele na mnaendelea vyema na shughuli, kazi,
masomo, biashara na mengineyo ilimradi tu mpate vya kuweka mdomoni;
Siku ya leo nimeonelea...