Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

,....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimegundua kuwa ukitaka kujua tabia halisi ya mpenz,rafiki na ndugu yako subiri apate pesa za kutosha. je kuna ukweli wowote juu ya hili jambo?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Heheheh...kwa kweli huku duniani raha kweli.... hawa mabinti hapa ofisini wanamkandia kuna dogo kaajiriwa hapa kama mwezi hivi sasa...huyu dogo anagonga ng'eli mda wote, mpaka raha yani ......ila...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
mimi ni kijana wa miaka 20 nimempenda msichana mmoja kanisani, na naamini nimempenda kutokana hata nikiwa nyumbani huwa sura yake inanijia, tatizo sijui nitamwanzaje kanisani pale na muda wote saa...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari za muda huu wadau wote wa ukurasa huu wa MMU na JF kwa ujumla? Binafsi napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mungu Muumba ardhi na mbingu kwa kunijaalia uzima na afya tele pamoja na furaha...
14 Reactions
53 Replies
5K Views
Hapa kwetu nimegundua kuna udhaifu wa wasichana wengi wagegedwe na kuachwa, kwa sababu mbalimbali lakini sababu ya Kwanza,Ni udhaifu!! Wanaume na wao wameishaona kuwa wanawake wengi kwa sasa wapo...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
We are in the conflict (b'se he's cheating me) right now. Can I change the locks? Legally do I have to let him back into the house? Can he call the police (justice community police) and have them...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
mpo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 7! tangu mfunge ndoa na mmebaatika kupata watoto wawili! ghafla mmoja wenu mme/mke anagundulika ana HIV+ je ukiwa km mume/mke uammuzi gani utachukua? wewe ambae...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ninampenzi wangu ila tuko mbali huwa tunawasiliana tu,,tatizo ni kwamba nilikuwa nikimpigia sim hapokei kwa takriibani wiki mbili hivi baada ya hapo alinipigia sim nakunieleza eti alikuwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wapendwa JF Members; Natafuta mchumba....Mwanamke/Binti au msichana mwenye sifa Plse...:- 1. Awe na Umri miaka 18....hadi....30. 2. Awe hajawahi kuolewa na kuachika 3. Elimu ....form four ....up...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Natumaini hamjambo wanajamvi wenzangu Awali ya yote nimejisikia vizuri kuwa mmojawapo wa wale wanaoweza kuthubutu kufanya kitu na kikawezekana. Leo tena nimekuja na jambo au mada hapo...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Je, kujamiiana huondoa msongo wa mawazo kwa wanawake? UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
www.loversguide.com
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Ndugu zanguni wapendwa leo naomba niwasilishe hili suala ambalo limekuwa likinitatiza kwa siku nyingi sana kichwani mwangu.Suala lenyewe ni suala la kujitunza kwa msichana au mvulana mpaka siku ya...
14 Reactions
112 Replies
9K Views
Jamani tumesalimika ndugu zangu? Nina hili jambo huwa naliwaza sana na labda sielewi kwa nini watu wengi wana mtazamo tofauti na ninavyoamini mimi... Ni hili swala la marafiki wa kuambatana nao...
24 Reactions
197 Replies
11K Views
Unafanya nini unapohusiana na mpenzi wako bila kuchunguza ya ndani zaidi na kuwa na muda mzuri wa urafiki (kama ambavyo mahusiano mengi ya sikuhizi yalivyo) halafu mnafikia kufanya maamuzi mazito...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
n lipi na kipi cha kukufanya uunipende wakati sikupi hadi siku ya ndoa
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Hiv mchumba mzur ni yule unampata kutoka sehem gn? 1.Shuleni 2.Njian 3. Ofisin 4.Ndani ya basi /meli/ndege 5.Msibani 6.Aliyekosea namba ya simu 7-Kanisani/sehemu za ibada 8-Wa facebook...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari zenu wadau wa MMU Kwa mara ya kwanza naingia jukwaa hili kuomba ushauri juu ya kile kilinikuta; Mnamo mwaka mmoja na kitu umepita nilikuwa home tz kwa bahati mbaya au nzuri nikagongana...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
I got married because no one puts me on anymore except her! How about you?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…