Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamaa hana lolote kimaisha tatizo hajatulia huu ni mwaka wa 8, lakini mapenzi anayajua kwake ni fani? na wiki iliyopita nimepima UKIMWI mambo safi. nikipata hisia Ana mwingine natamani kifo...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Sie tunaotegemea nyumba za kupanga, kweli tuna kazi.Sehemu ninakopanga,mwezi uliopita mwen ye nyumba alimwozesha binti yake kwa bonge la harusi, tena mnajua tu harusi zetu zinazofanywa ndani ya...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
ndugu wana Jf habar zenu.. Nimekua nikishuhudia migogoro mingi ya ndoa baada ya wanaume kuingilia vipato vya wanawake kwa lazima, kama mwanamke hataki usilazimishe usitumie nguvu bali maelewano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa nikijiuliza swali hili lakini sipati jibu. Nimekuwa na hulka ya kupoteza hisia za kupenda jinsi ninavyozidi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa mda mrefu na mwanamke. Hapa...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Kuna wakati kumuuliza mtu ambaye hujamuona siku nyingi unahitaji uwe na kifua kwani hujui utapata jibu gani! Kuna member humu alikuwa anajiita ROSE1980 SIMUONI TENA !alikwenda wapi .....alikuwa ni...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Guy, Natafuta rafiki wa jinsia yoyote mwenye ufahamu wa ajira mbalimbali na mwenendo wa maisha ili tupeane ushauri juu ya maisha. Napenda sana kuchat kwa sms hasa za kuchekesha. Rafiki tu bila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf! Niliweka tangazo humu la kutafuta girlfriend, siku hiyo hiyo nilimpata. Tukaonana, bada ya siku tatu akaanza kuomba pesa, siku ya kwanza nilimpa kama elfu sabini na...
3 Reactions
81 Replies
6K Views
kwa nini haya maneno mazuri swt,baby, honey,my love huisha baada ya kuoana au kuzaa.je unakubali kuwa yana uchochezi katika mapenz,jaribu leo utaona mmerudi enzi zenu za ujana.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
so torn
10 Reactions
286 Replies
16K Views
Ni kama miaka mitatu sasa imepita tangu niingie kwenye uhusiano na masicha mmoja jina(ninalo), tulianza mahusiano mwaka 2009, nikiwa chuo kikuu yeye akiwa bado anasoma kidato cha tatu baada ya...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Wito wangu hapa kumezuka katabia wa kuomba wapenzi utadhani wapo serious kumbe matapeli wakubwa tena sijui washamba m2 hata humjui ushaanza kumbom mizinga mara mtoto anaumwa sijui bebiii sijasuka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba msaada ni sababu zipi za msingi kuishi na mme wa ndoa wakati naweza jitegemea sasa.
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Namtafuta mchumba awe mwalimu miaka 22-26.namba ya simu 0786279760 kwa mawasiliano zaidi na awe serious
0 Reactions
9 Replies
1K Views
toka nimeanza mahusiano ya kimapenzi sijawahi kumtenda mtu sasa ni zamu yangu kukamilisha circuit, i swear watajuta sasa naanza kutumia meno yangu effectively i'm not a potential hubby until...
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Inawezekana wanawake wengi hawajui kama kuwa na Mwanya ni jambo linalowachanganya wanaume wengi sana! Kama una Mwanya jua una hazina inayotafutwa!!
5 Reactions
119 Replies
22K Views
A pretty woman was serving a life sentence in prison. Angry and resentful about her situation, she had decided that she would rather die than to live another year in prison.Over the years she had...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mm ni kijana mzaliwa wa bukoba nahtm chuo mwz wa 5 natafuta mchumba ambaye ni mwl ka mm umri 22 hadi 26.zaid piga namba 0786279760
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Kwa mara ya kwanza nilipokutana na msichana fulan.MWILI wang uliishiwa nguvu ikawa hata kusema mamb tu nilishidwa .kutokana na vitu alivyojaaliwa dada yule ,sasa ikabid nijiulize mi huyu bint...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
College 'sugar babies' date for cash By Stephanie Goldberg, CNN February 26, 2013 -- Updated 2152 GMT (0552 HKT) Some college students are dating "sugar daddies" to help them pay for...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…