Kwa uzoefu wangu, mwanamke ni kiumbe ambaye hawezi kukiri kuwa katembea na mtu mwingine hata kwa mtutu wa bunduki, yupo radhi kufa ila sio kufungua kinywa, labda umkute on spot na tena umpige na...
Mentor utaoa lini
2008, January 28 Jumatatu
Ndo nilikuwa natimiza miaka 26. Kijana mtanashati miaka miwili kazini katika kampuni moja ya vinywaji.
Siku hii bosi wangu alinipa ofa ya a whole...
NINAULIZA SWALI KIMAPENZI KATI YA MKE AU MUME NANI AWE WA KWANZA ANATAKIWA AMPIGE MWENZIE KISS MUKIWA NDANI PEKE YENU? NINAWAOMBA MUNIJIBU SWALI LANGU ASANTENI.
HUKUMU ya kesi iliyokuwa inamkabili staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja na
mumewe imetolewa leo na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu, jijini Dar.
Katika hukumu...
natafuta mchumba wa kuwa nae,pia awe mke wangu,masharti awe ananizidi umri miaka 25-40 na pia awe na elimu,mimi pia ni mtu msomi,pia awe na ajira..
Nipo mkoani kagera,bukoba...
Habari za hasubuhi wapendwa,
Dunia hii haishi visa , kuna jirani yangu kamtimua mke na watoto kabaki na house girl, mke alipotaka kumchukua house girl ili akamsaidie kulea watoto kwani naye ni...
Have you ever felt ashamed of not satisfying your partner because of eréction problems?
As you grow older you'll find it a little difficult to get a strong eréction and satisfy your partner in...
dears,pls kwa wanawake na wanaume nataka kujua wapi kati yetu wengi tupo single zaidi ya wengine....coz nahisi kama rate ya wasichana tulio single tupo wengi zaidi ya wanaume hadi naanza kuogopa...
Jamani, kuna baadhi ya akina dada ving'ang'anizi sijapata kuona! Wewe umechumbiwa, umelipiwa mahari lakini bado unaenda kugegedwa na mabwana wengine. Mchumba wako kajua, na ameamua kukuacha ili...
Poleni kwa majukumu wabubwa, pia ndugu zangu. Shikamooni woote mnaostahili!!
Nimeona watoto wengi wadogo (wengine chini ya miaka mitano) wakiwa wamesukwa nywele. Kwa kuwa watoto hao hawana nywele...
Nashangaa kwa nguvu tu
Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'
Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza...
Homeless man who returned engagement ring reunites with familyBy Claudine Zap
Claudine Zap
Posts
Email
By Claudine Zap | The Lookout 15 hrs ago
Email
Share2960
Share10
Print...
Huwa nashangaa kabisa!. Hawa wanawake wakianza kuongea ndani ya nyumba hadi utamshangaa huyu ni mke wangu au kapandwa na pepo?. Anaongea vijimaneno hadi unatamani ummeze au umtwange makofi sema...
1. It's important that a man helps you around the house and has a job.......
2. It's important that a man makes you laugh......
3. It's important to find a man you can count on and doesn't...
::
Kumekuwepo mjadala hapa MMU kuhusu wallet za wanaume zina nini ndani.Lakini upande wa pili wa shilingi je,mikoba ya wanawake ina nini ndani yake?
::
Nimekuwa nikiwaona wanawake wameweka mf...
Narejea uzi huu
Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi.
Kuna sehem nineona sababu ya kujiua ni kuachwa na mpenzi.
Najariu kuvaa viatu vya mzazi, natetemeka, naona giza, nachanganyikiwa, nakiri...
Pope France's met Amalia Demonte when he was 12 years old .Amalia akamkataa na pope Francis (. Then 12 years old boy ) aka mwambia Kama hunitaki basi Itabidi niwe priest kwa sababu aliimini Alma...
(ANGALIZO HII NI STORY YA KWELI) ilikuwa mwaka 2011 mwezi wa tisa mnamo saa tatu na nusu usiku taraitibu napiga hatua kuelekea nyumbani mara ghafla simu ikaitwa kuangalia ni ya dada yangu aliyepo...
Siku moja bwana, nimetulia zangu pub flani Mikocheni nakata maji ikaingia simu. We shori uko wapi party inabamba mbona huonekani? dah party yenyewe nilikuwa naipotezea ki aina ila sasa nikaona soo...