Habari zenu wana JF.
Yaani tulianza kama matani vile, yeye ali like comment yangu niliyo itupia hapa JF, ikabidi nimPM kumshukuru.
Baada ya hapo tukaendeleza mazungumzo. Hatimaye akanieleza...
Hi all,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.
Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni...
Mwaka 2144 teknolojia itakuwa mbali sana kiasi kwamba mtu utaweza ku download DNA blue print ya mtu unayempenda kwenye dating site yoyote then unai print kwenye 3D Clone printer then unampata mtu...
Ninatafuta mke wa kuoa umri wangu miaka 32, dini mkristo, elimu yangu shahada ya uzamili, nina kazi, urefu 172 cm, rangi maji ya kunde, ninaishi Dar es salaam. Sifa za mwanamke umri 25 -32, dini...
Habari zanu wana JF,
Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time...
Jamani kabla hujafa hujaumbika,na usimkufuru Mungu kabla jua halija zama.Demu mmoja ajulikanae kwa jina Pendo nilimtongoza na nikamueleza nia yangu ya kumuoa akanikataa,then akapata sharobaro wa...
MMU habari ya kazi kila mmoja wenu?
Nimekuwa msomaji wa MMU bila kujisajili ila leo nimeona niwe member ili nipate ushauri kuhusu hili.
Mwenzenu kwa sasa na kwa age yangu ningependa niwe na mume...
Tafiti nyingi duniani zimegundua kuwapo na msukumo na mhemko wa tamaa za ngono kwa wanaume. Majibu kadha wa kadha ya tafiti hizo yamekuwa yakitoa majibu sawa, ikiwemo suala la maumbile ya...
Talaka inapotolewa bila kujali kama kuna watoto ama La,
Nani ni rahisi kupata Mwenza haraka between Man and Woman na kwanini?personally how many would love to date them and why?.
Jamani mi nina problem. Yaani siku hizi kila anachofanya mke wangu lazima nipate kasoro. Ni limbwata inaisha? Mapenzi yanapungua? Au nina tatizo gani? Akipika lazima nitanung'unika kitu fulani...
Habari za wakati huu,
Wapendwa kaka na dada zangu, ni mara ya kwanza ktk uwanja huu. wote salaamu!
nina rafiki yangu ameolewa na wamebahatikkuwa na mtoto mmoja. mume wake ni dereva daladala...
Nimekuwa busy kutafuta elimu na future life. Nadhani kwa sasa inatosha kuanza maisha na mwenzangu. Nipo pande za Asia naomba yeyote aliye tayari kuishi nami, picha muhimu. Natarajia kurudi...
hi! my name is jonas, am looking for a good girlfriend, i dont disriminate any one,but dealing on the one who have a true love and good habit, who is interested on that, please wellcome, sibagui...
hivi hii tabia ya kusagana ni fasheni mpya imeingia mjini
au kuna tatizo kubwa limejificha?mbona wengi wanashiriki??
je wote ni ma lesb kweli au ni vipi?
Naitwa Prisca mwenyeji wa mkoa wa Arusha,
napenda nishuhudie kitu ambacho kimetokea
maishani mwangu hadi kupelekea kuokoka.
mwaka
2010,
kwa sababu ya kutafuta maisha nilikwenda
zanzibar...
Habari ndugu zangu.
Nauliza yeyote anaemfahamu marehemu Mzee Jaffari aliyekuwa anaishi maeneo jirani na stand ya Biharamulo. Alifariki miaka ya 2008 hadi 09. Alifuatiwa na mkewe mwaka 2010.
Pia...