Jamaa yangu kidoogo ana matatizo ya akili,pamoja na mapungufu hayo kafanikiwa kupata mwanamke mzuri tu wakafunga ndoa na sasa hivi wana mtoto wa kiume ana miez 4.
Mshkaji bado anaishi kwa wazazi...
Ni wakati muzuri wa kutiana moyo ndugu zangu ni kweli wapo wanaoumia kwenye mahusiani yao wapo wanaoona ndoa kwao basi tena lakini wapo pia wanaoogopa ndoa sababu ya maisha magumu ama matayarisho...
Neno kingamuzi limetumika kumaanisha matumizi ya vileo ambavyo hupelekea mtu kumtafuta mpenzi yoyote na kumpata na kutumia style zozote kutokana na msukumo unaotokana na kingamuzi...
Niliyempenda sina mvuto Nayetena.
I just feel like walking away .
But im afraid of hurting her.
We've been together in so many things.
On ma mid 20's I'm certain there's one right for...
Kabla hujaingia ndani ya ndoa kwa wanaume kitu ambacho huvutia ni uzuri wa kimuonekano i.e physical appearence na kwa wanawake ni jinsi gani mwanaume anavyojali na usmart wa akili pamoja na...
Kupenda si kazi bali kumpata anayekupenda ndio issue! Hapa juzi kati nimepata zali la kimahusiano na mtoto wa kifilipino tulikuwa tunawasiliana tu vizuri mpaka tukapanga mipango mathubuti ya hapo...
Naamini yaliokukuta yanaiendelea kukuta atuitaji kuamini na wenzetu wanaooaana leo nao tuwaombee mabaya;;kama mtumishi wa Mungu nawatakia wote wanaoenda kuoana siku ya leo ni furaha yangu kuona...
kuna dada mmoja tulipotezana kwa muda mrefu, so tukakutana hivi karibuni tukakumbatiana ( bear hug) cha ajabu baada hug akaniambia ASANTE huku akiniangalia machoni, sijawahi kuambiwa asante katika...
Siamini macho yangu, kama kwel heshima, utu, aman na upendo kama vinaweza kuwa kutu tena isiyoweza futika moyoni mwangu. Rafiki yangu kala mzigo kwa demu wangu ambae ni shemeji yake na yeye akiwa...
Ndugu zanguni wote sisemi unaeoa ama kuolewa leo maana is too late nasema kuna watu wanapenda ndoa just wanatakiwa kuoa ama kuolewa na wapo wanaooana sababu zao binafsi ikiwemo mchumba maishayake...
Yaani kuna demu mmoja kiikweli nilikuwa nampenda sana tena sana na yeye alijua kuwa nampenda ila mwanzo wamwaka huu baada ya kumtambulisha kwa baadhi ya nduugu zangu na kupita kama wiki mbili...
habarini wana jamvini, ni ivi una kua ktk relation na mwanaume na ktk kipindi chote cha relation mnakuwa ni watu wa kugombana saana , una amua kuachana naye na ktk kipindi icho cha kuwa mbali ana...
Kwanza ahsanteni sana wale wote mliochukua fulsa ya kunishauri vyema nini nifanye tupo pamoja,kweli ss binadamu tuna mapungufu ila si sawa kumjibu mtu kwa kejeri,dharau,kashfa ama masimango ikiwa...
JAMAA AFUNGISHWA NDOA YA WAKE WATATU
Anikulapo Kuti akiwa na wake zake watatu wakati wa ndoa yao.
FELA Anikulapo Kuti, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ametoa mpya kwa...
A group of professional people posed this question to a group of 4 to 8 year-old, What does love mean?
The answers they got were broader and deeper than anyone could have imagined. See what...
Tulishi kwa amani upendo furaha baada tu ya kumaliza mktaba wangu na kampuni ya GGM mkoani Geita mke wangu alibadilika sana akawa na mazoea na rafiki yangu sikujali sana maana ilikuwa kawaida sk...
jamani kama Wiki mbili zimepita niliwashirikisha kua mchumba nilie mtambulisha aliumwa ghafla, sasa nimegundua tatizo japo hakua mwazi Sana anasema tatizo kipindi yuko A level alia kugombana na...
Natafuta msichana wa kutoka nae kila mwisho wa mwezi...
SIFA:
1: awe anapatikana dodoma au singda.
2:awe mweupe
3:asiwe mnene /tumbo wala kitambi
4:awe msafi anayenukia na...
:whoo:Hili kweli ni jiji nililokuwa nasimuliwa wakati nikiwa naishi jiji la joto siku zote......
Yapata miezi mitatu sasa nikiwa hili jiji ambalo msimu wa baridi umeingia....nimekutana na mengi...