Nini maana ya kupenda jamani.

Nini maana ya kupenda jamani.

Mashono

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
101
Reaction score
23
Jamanu nisaidieni kupenda ni kutamani au kuzoea nisaidieni jamani. Maana kuna ubishi hapa kwelikweli
 
::
Kupenda ni kujitoa kwa ajili ya mwingine
=
 
Jamanu nisaidieni kupenda ni kutamani au kuzoea nisaidieni jamani. Maana kuna ubishi hapa kwelikweli
Hapo mtabishana mpaka kesho maana hata nikikwambia ninavyofahamu mimi bado watabisha.
 
The English word love
can refer to a variety of
different feelings, states,
and attitudes, ranging
from pleasure ("I loved
that meal") to
interpersonal attraction
("I love my partner"). It
can refer to an emotion
of a strong affection and
personal attachment . [1]
It can also be a virtue
representing human
kindness, compassion,
and affection—"the
unselfish loyal and
benevolent concern for
the good of another". [2]
And it may describe
compassionate and
affectionate actions
towards other humans,
one's self or animals. [3]
In terms of interpersonal
attraction, four forms of
love have traditionally
been distinguished,
based on ancient Greek
precedent: the love of
kinship or familiarity (in
Greek, storge ), the love
of friendship (philia ), the
love of sexual and/or
romantic desire (eros ),
and self-emptying or
divine love (agape ). [4][5]
Modern authors have
distinguished further
varieties of romantic
love. [6] Non-Western
traditions have also
distinguished variants or
symbioses of these
states .[7] This diversity
of uses and meanings,
combined with the
complexity of the
feelings involved, makes
love unusually difficult to
consistently define,
compared to other
emotional states.
Love in its various forms
acts as a major
facilitator of
interpersonal
relationships and, owing
to its central
psychological
importance, is one of the
most common themes in
the creative arts .[8]
Love may be understood
as part of the survival
instinct, a function to
keep human beings
together against
menaces and to facilitate
the continuation of the
species. [9]
 
kutamani ni tofauti na kupenda na kutamani mara nyingi huja kwa kutazama mwonekano wa nje wa mtu ila kwa kadri mtakavokuwa wote kwa kipindi flani unaweza jikuta unapenda kutokana na tabia pamoja na mambo anayokufanyia mwenzio....na mtu anaweza kujifunza kupenda ila sio kutamani.
 
Jamanu nisaidieni kupenda ni kutamani au kuzoea nisaidieni jamani. Maana kuna ubishi hapa kwelikweli

Kupenda(love) ni tofauti sana kutamani.Kupenda ni hatua na issue inayohusisha akili(reasoning).Kutamani ni kitendo cha hisia tu.Unaweza ukatamani lakini akili ikipata nafasi tu ya kufikiri,tamaa inaweza kuondoka kabisa!Ila ukipenda(kitendo kinachochua muda)hisia za kutamani zinaweza kujengeka.Kupenda. Kunaweza kujengwa na kukua,tamaa huibuka tu,na kupotea baada ya kutimizwa.Hata hivyo tamaa inaweza kuwa ishara ya kwanza kuonesha kuwa kuna upendo unahitaji kuzaliwa.Unaweza kuzaliwa mahali sahihi,baridi,magonjwa na njaa visiuathiri hivyo ukakua.Ama unaweza kuzaliwa palipo na dhoruba za ubinafsi na upumbavu ukafa kabla ya siku zake(immature death)Kupenda hutoa,tamaa huchukua tu. Kupenda humfikiria apendwaye,tamaa hujifikiria mwenyewe.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kutamani ni tofauti na kupenda na kutamani mara nyingi huja kwa kutazama mwonekano wa nje wa mtu ila kwa kadri mtakavokuwa wote kwa kipindi flani unaweza jikuta unapenda kutokana na tabia pamoja na mambo anayokufanyia mwenzio....na mtu anaweza kujifunza kupenda ila sio kutamani.
Hapo kidogo nimeanza kuelewa
 
Kupenda(love) ni tofauti sana kutamani.Kupenda ni hatua na issue inayohusisha akili(reasoning).Kutamani ni kitendo cha hisia tu.Unaweza ukatamani lakini akili ikipata nafasi tu ya kufikiri,tamaa inaweza kuondoka kabisa!Ila ukipenda(kitendo kinachochua muda)hisia za kutamani zinaweza kujengeka.Kupenda. Kunaweza kujengwa na kukua,tamaa huibuka tu,na kupotea baada ya kutimizwa.Hata hivyo tamaa inaweza kuwa ishara ya kwanza kuonesha kuwa kuna upendo unahitaji kuzaliwa.Unaweza kuzaliwa mahali sahihi,baridi,magonjwa na njaa visiuathiri hivyo ukakua.Ama unaweza kuzaliwa palipo na dhoruba za ubinafsi na upumbavu ukafa kabla ya siku zake(immature death)Kupenda hutoa,tamaa huchukua tu. Kupenda humfikiria apendwaye,tamaa hujifikiria mwenyewe.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Somo sasa linaniingia kidogo.
sasa utajuaje kama mtu anakupenda?
 
::
Kuyatoa yote uliyonayo pasina we kujijua unafanya nini ila unajua pale unapogundua ulijitoa kwa asiyesitahili
Hapo ndio ulipenda
=

Na utajuaje mtu amejitoa kwako?
 
Kupenda ni kumpa mwingine madaraka ya kukuumiza na kuamini ya kwamba hatotumia madaraka yake kufanya hivyo.
 
Tutarudi baadae:
11101_4398587363889_2069889054_n.jpg
 
Back
Top Bottom