Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naitwa Jerrison nipo Mwanza, nna umri wa miaka 27, natafuta mpenzi mwenye asili ya kiarabu, mzungu au mhindi, Awe anayejitambua, aliye serious na mwenye nidhamu. Aliye tayari anitafute kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
lengo ni kupeana raha back history haiitajiki, awe na watoto au wajukuu si issue asiwe na mume tu awe anajiweza kifedha kuepuka mizimga arushaatoke arusha au manyara mimi ni mtu mzima ninafanya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!
10 Reactions
87 Replies
11K Views
Piyah Martell (19), ni raia wa Carifonia nchini Marekani amezaliwa akiwa mwanaume mwenye ulemavu, uliosababishwa na kuwa na kasoro katika uti wake wa mgongo na miguu. Mwanaume huyo anatamani na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Whatever you give a woman she will make greater! If you give her sperm she'll give you a baby. If you give her a house she'll give you a home. If you give her groceries she'll give you a meal. If...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Weekend hii mida ya jioni tukiwa tunajiaandaa kwenda kwenye part ya harusi ya rafiki yetu ndipo mada hii ilipozuka na kutuchanganya wadau. Baadhi yetu tukasema upendo ndio chanzo kikuu cha ndoa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
JAMANI KILA MTU ANAHITAJI KUWA NA FUTURE NZURI IKIWEMO NDOA ILIYOSITARIKA KATIKA MALEZI BORA. FURAHA AMANI NA UPENDO. BAADHI YETU TUNAMSHIRIKISHA MUNGU ATUPATIE WENZA TULIOFANANA NAO ILI TUJENGE...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
MIMI NI MWANAUME MWENYE MIAKA 27 NATAFUTA MCHUMBA MWANAMKE AMBAYE MUNGU AKIPENDA TUFUNGE PINGU ZA MAISHA lakini NIWE WAZI MIMI NI MASKINI WA PESA LEO NINACHO,KESHO SINA.NAAMINI NIKIPATA MWENZA...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Mimi ni moja wa wanaume hapa Tanzania ambao kwa namna moja ua nyingine tunawasaidia wake zetu kwa hali na mali shughuli za nyumbani. Kwanza kwa kutambua kwamba wanawake wengi wameajiriwa like...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back...
3 Reactions
86 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF. Nina Rafiki yangu wa kike anaomba ushauri pls naomba tujaribu kumsaidia. Huyu dada kaolewa na wamebarikiwa mtoto mmoja wa umri wa miaka 5. yeye na mme wake Wote waajiriwa...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Nakumbuka mwaka 2009 Kupitia zimbabwe broadcasting cooperatio(ZBC) kulikuwa mjadala uliohusu hatua ya mbunge mmoja wa bunge la ZIMBABWE aliyetaka hatua zichukuliwe ili WAATHIRIKA WA UKIMWI WOTE...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapenzi wajirusha mbele ya treni iendayo kasi na kuuawa. Kisa mama apinga uhusiano wao | Maraha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Married woman are inferior,they dont know their right. Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni. While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke...
7 Reactions
125 Replies
11K Views
Kumpenda mtu asiyekupenda ni kama mwanafunzi wa HGL kufaulu mtihani wa Hesabu,inabidi uwe na moyo mgumu kama bati la Alluminium.. Kwakweli inabidi kabla hujafall mzima mzima kama furushi la nguo...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
GIRL:, Father forgive me for i have sinned" PRIEST:,What have u done my child? GIRL:,I called a man a son of a bitch" PRIEST:,Why did you call him a son of a bitch? GIRL:, "Because he touched...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Wadau habari poleni na majukumu, Hivi kwanini ukishatangaza tu ndoa na ikafahamika basi wale wote waliokuwa wananata na kukuringia wanaanza kujilengesha kwako?hadi inakuwa usumbufu?mara umeshatoa...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Hi! Wanajamv ! Huw nawapendag sana kwa michango yenu,nipo zangu hapa ufukwe wa bahari nkipata upepo mzuur wa mung karibu sana.ila kuna jambo lantatza kwan ningpend kuja kuingia ktk ndoa ktk umr...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…