katika mahusiano swala la ugonjwa kwa mpenzi wako linahitaji umhimu wa kipekee.
Hakikisha unaenda mara kwa mara kumuona mpenzi wako hospitalini,mjali kwa kumpa matumaini,kwa chakula na vinywaji...
Hapo zamani nilikuwa nikishangaa sana kuona mwanaume anahonga hadi laki kwa mwanamke, au kumpangishia chumba au nyumba mwanamke, zangu ilikuwa sana sana elfu 10 tu au hakuna kitu, siku hizi...
Hivi ni kawaida kweli kusikia eti mwanaume anamkatalia Demu wake Ku Dooooo mpaka waoane. Kama wewe Ni mwanamke ukanyimwa penzi na jamaa yako mlozoeana sana kwa kutumia hii sababu utahisi nini? Na...
baba yangu ni mjane!
ninamtafutia mke...umri wowote ila miaka 60 na kuendelea atafaa zaidi maana yeye yupo above 70!
naitaji mama wa kumtunza na kumuondolea upweke naona anateseka sana maana...
1. Don't be in a hurry to move out of your parents house.
2. Don't wait for a man before you start living.
3. Stay away from alcohol.
4. Don't entertain a wrong number call,especially at...
Wataalam wanasayansi wa Marekani wamegundua kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya ukubwa wa korodani (siyo dushelele kwani fupi tamu na hakika kubwa inakera) wenye korodani kubwa ni wapenda ngono hasa...
..nikafika dasilamu kutoka mkoani...na vijisent kidogo vya kuanzia maisha. Nikapanga chumba kimoja...nikaanza maisha. Baada ya siku kadhaa nikapata girl. Akaanza kunikimbiza mbio mbio tuoane. Full...
^^
Nilialikwa kwenye tafrija fupi ya kuwapongeza wanandoa wawili.Wanandoa waliotimiza miaka 25 katika ndoa.Nilifika mapema sana,tafrija ilikuwa inaanza saa 12,sitaki kutaja chakula,burudani na...
Kwa wale ambao hawajaoa/olewa/wezi wa wengine
Je kuna umuhimu wowote wa ndugu jaamaa au marafiki kufahamu uhusiano wako na mwandani wako?
What Happened In Room 13 - Dilman Dila - YouTube...
jamani ushauri wenu hapa.
nini rafiki angu anaitwa Z,ameolewa mwaka mmoja uliopita,aliamua kumchukua mamamkwe wake waishi pamoja maana alikuwa mjane, tatizo ni kwamba mamamkwe anataka mwanae ale...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, hivi karibuni mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Aisha (26), mkazi wa Tabata, Dar es Salaam alinaswa akifanya ukahaba na kudai kwamba ana ruhusa...
Kumekua na malalamiko na thread zinazoomba ushauri kuhusu size ya maumbile ya wapenzi wao. Pia ushauri mwingi kuhusu support ya kuduu ama kutokuduu kabla ya ndoa. Na pia misemo ipo kwamba "siwezi...
Members and familly
first i wish you all the best those who are going to get marriage this week,with God all things are possible
i have no words to them but for the rest would like to assure if...
Nilikuwa na mke wangu tulizaa nae mtoto 1lakini kaniacha,mimi nampenda sasa namtaka tena nimpe mtoto sasa nifanyeje wazee,jinsi ninavyomuona yuko bado kama ananipenda,nisaidieni nifanyeje...
Ndungu zangu wana jf..'npo kwenye mahusiano ya kimapenz na binti mmoja hv lakn nimekuja kugundua ni bonge la kicheche alaf mimi ninavyompenda yaani basi sijui nijinasue vipi tu..'juzi hapa nikawa...
Jaman naomba ushauri wenu nitumie stairi zipi katika mapenzi ili mgegedeo wangu usimuumize mpenz wangu kwan amekua akilakamika mara nyingi tukiwa ktk 6x4 hali hii imepelekesa sasa niwe nanyimwa...
Wanajamvi naombeni msaada
Ninatamani kujua wapi ninaweza kupata engagement ring nzuri hapa Dar au Arusha. Sifahamu sana bei ya haya mambo lakini nimejiaandaa na kati ya 500,000/= mpaka...
Tarime.Waswahili husema, mapenzi matamu pale yanapokolea, lakini hugeuka shubiri pale yanapochacha.
Ukweli wa mambo hayo unadhihirika katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara...
haya mapenzi bhana hayana mwenyewe,si mshinga tu anaepata nayo tabu,NINAPOSIKIA,KUSOMA ama KUONA mtu analalamikia mpenzi wake ama kutendwa huwa nafarijika sana na kujua kumbe SIPO PEKE YANGU...
Wadau habari za jioni poleni ka mihangaiko....
Kuna kitu nimejiuliza siku nyingi,kuna matatizo mengi ya mahusiano baina ya watu, wanaweza kuwa kazini au nyumbani au hata humu jamvini,kila kukicha...